S Sajidu Mzalendo Member Joined Mar 24, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Mar 28, 2011 #1 Binafsi sioni juhudi zozote za cheyo, kujenga chama cha UDP.Au ndio ameshakibinafsisha na kuwa NGO ya CCM?Naomba ufafanuzi?
Binafsi sioni juhudi zozote za cheyo, kujenga chama cha UDP.Au ndio ameshakibinafsisha na kuwa NGO ya CCM?Naomba ufafanuzi?
Ronal Reagan JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,298 Reaction score 3,060 Mar 29, 2011 #2 Ni NGO ya Cheyo yenye kufadhiliwa na CCM...... Rahisi jibu liko ndani ya swali!
B Byendangwero JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 871 Reaction score 56 Mar 29, 2011 #3 Ukweli hiyo ni NGO ya Cheyo, lakini kwakuwa hivi sasa chama hicho hakikidhi masharti ya kuwa chama cha siasa, ameona ni vema ajisalimishe kwa CCM ili chama hicho tawala kiendelee kumlinda ili chama chake kisije kikafutwa.
Ukweli hiyo ni NGO ya Cheyo, lakini kwakuwa hivi sasa chama hicho hakikidhi masharti ya kuwa chama cha siasa, ameona ni vema ajisalimishe kwa CCM ili chama hicho tawala kiendelee kumlinda ili chama chake kisije kikafutwa.