hivi uchawi ni nini??


Uko sawa kabisa.
 
sitaki definition,nataka mechanism ya uchawi na unafanyika vipi,ni kama tunavyofahamu leo mtu anapowasiliana kwa simu au internet,sasa upande wa uchawi inakuwaje,ndio swali langu,hata hivyo waweza nielekeza kwa mganga unayemtumia
Ndugu yangu, ukitaka kufahamu uchawi unafanyika vipi tafuta kitabu kimoja kinaitwa nimekombolewa toka ktk giza,kimeandikwa na Emanuel Eni, aliwahi kuja Da akahubiri, naamini utapata ufafanuzi kamili kwwasababu aliyeandika alikuwa mchawi, lkn lijifunza uchawi kwa kulazimishwa na mwanamke, naamini utajua kuwa vipo vyuo vikuu vya uchawi kama vyuo vya elimu yakawaida, na pia utajua jinsi wanavyo wasiliana,
Huyu jamaa alikuja kuwa mwenyekiti wa uchawi Afrika, toka ktk familia ambayo haikujua uchawi mpaka akwa mchawi mkubwa sn, lkn huyu jamaa, alikuja kuokolewa na Bwana kwa jinsi ya ajabu sn
 
uchawi ni ile hali kuwatisha wenzako kuwa umeaga kwenu huku ukiwa hujui na wenzako may b wameaga kwa mungu muweza wa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…