Hivi uamuzi wa kuoa unakujaje jamani?

Hivi uamuzi wa kuoa unakujaje jamani?

Nina doubt kama umevuka miaka 18? huwezi kuwa mzima kwa kweli.Hujui kama kila kitu kina side effects Chukulia mfano umeajiriwa then ukapata hela nyingi ukanunua gari na hilo gari ukapata nalo ajari likakuvunja miguu then uje na conclusion kuwa TUSIMILIKI MAGARI.
NB:YALIYOMTOKEA JUMA SIO LAZIMA NA JOHN YAMTOKEE.

me naona ninyi wote (wafa maji hamuachi kutapatapa)mnajaribu kutetea ndoa zenu

ndoa ni kama mtego siku ukipatikana tu uhuru wote kwisha.
 
Wengine wana find peace in their hearts by knowing they are doing the right thing mbele za Mungu for eg kuwa kwenye ndoa na sio kuzini. Hili linaweza kuwa sababu ya kumpelekea mtu kuoa/kuolewa. Kujua unafanya dhambi husababisha some level of guilt kwa baadhi ya watu na kupelekea kuto enjoy hiyo du.du haswa kama huyo mtu pia hupenda kusali. Unaona unasali unazini unasali unazini sasa nini hiki tena! So to be free na kupata utulivu wengine huona bora aoe

we umejibu kweli. unastahili kuitwa 64Bit wala sio 32
ila ondoa "s" kwenye ID yako maana hakuna 64bits ila 64bit ni ushauri tu. samahani kama utakwazika.
 
Umepata laana kwa huyo uliyezaa naye.Hujui aliteseka kiasi gani ulipoamua kuachana naye wakati tayari anamimba yako na mapenzi na matumaini.Kuoa wakati mwingine kunatokana na kumpata mtu kama huyo uliyempata ukamchezea.Uwezi kuwa sawa kwa umri wako usiwaze ndoa.Uwezi kuwa mzima na lijali usio tabu ya kutokuwa na mke.Kumbuka mke ni heshima.

mke ni jela
 
Mimi mkuu nina 40 saa hizi ila fikra zangu ni exactly kama za huyo kijana, nitakuwa lini mkuu?

Huwa najiuliza waliooa kiliwamotivate nini?
I have never thought of marriage!!

U need motivation???
 
Mimi mkuu nina 40 saa hizi ila fikra zangu ni exactly kama za huyo kijana, nitakuwa lini mkuu?

Huwa najiuliza waliooa kiliwamotivate nini?
I have never thought of marriage!!

Hata hivyo kuoa siyo lazima. kama hisia haziji na hujisikii kuoa basi huoi na maisha yanasonga mbele kama kawaida. Usioe kwa kuiga watu au kulazimishwa. wala usibaki bachela kwa kuiga watu au kulazimishwa. Kama uliisoma meseji yangu vizuri nilisema hivi vitu vinakuja vyenyewe automatically.
 
Fuata moyo wako unavyosema. Ulikuja duniani mwenyewe utaondoka mwenyewe. This is your life, enjoy as much as you can.

You are an archtecture of your destiny and you are responsible for your choices.
 
Ukihitaji staha na heshima kwa jamii inayokuzunguka lazima uoe/uolewe. Swali ni je mke na mme atoka wapi????????????? "Mke/mme bora atoka kwa mungu" Kwani usimuulize mungu alipo mkeo ili akuonyeshe???????????? Usitumie matamanio yako ya mwili hutavuka salama.

Kwa hiyo inamaana wewe umeoa/kuolewa kwa sababu ulitaka staha/heshima kwa jamii? Kinachounganisha watu katika ndoa ni upendo na bila upendo hakuna ndoa. Hayo mambo ya staha, heshima n.k huja baadae kulingana na mwenendo wa maisha mtakayoishi. Kama wewe umeoa/kuolewa na maisha yako ni ya kihuni hiyo staha/heshima utaipata wapi?
 
Kwa hiyo inamaana wewe umeoa/kuolewa kwa sababu ulitaka staha/heshima kwa jamii? Kinachounganisha watu katika ndoa ni upendo na bila upendo hakuna ndoa. Hayo mambo ya staha, heshima n.k huja baadae kulingana na mwenendo wa maisha mtakayoishi. Kama wewe umeoa/kuolewa na maisha yako ni ya kihuni hiyo staha/heshima utaipata wapi?
Upendo ndio maana ya ndoa hivyo sikuwa na haja ya kuuzungumzia. Kinamuunganisha mwanamke na mwanamme wasio ndugu wa damu ni upendo tuuuuuuuuuuuuuu.
 
U need motivation???
I dont know whether i nee motivation or what!?

Kitu ambacho huwa najiuliza mtu anatamani nini hadi anaamua kuoa au kuolewa?

Huwa nawashangaa wanaooa na vile vile najishangaa mimi kwa nini sijawahi kufikiria kuoa!!

Suala la heshima na staha katika jamii kama alivyosema Tamatheo huwa nakataa kulizingatia, kama jamii itanidharau kwa sababu tu sijaoa, acha wanidharau tu..
 
Last edited by a moderator:
Endelea kuckiliza hao walevi hvyo hvyo, wala usihangaike kuoa. Maana unataka kulazimisha kuwa maisha ya kila mtu yanafanana, eti kwasbbu watu sita au kum walikuambia ndoa zao zina purukushan bas unajua na ww ndoa yako itakuwa na purukushan tu.! usikremishe maisha, sio ajabu hao wenzio wanakuletea hbr za ndoa mbaya lakn kumbe wenyew wameoa. Kuoa n heshma kwenye jamii, lasivyo utaishia kuonekana mhuni tu.. Lakn km wazo huna usilazimishe we endeleaa kukaa tu hakuna tatzo, wazo litapokujaga bas itabd utafute mzee mwenzio mmalizie uzee pamoja..
"...kuoa ni heshima kwenye jamii"

Hii ni hoja ambayo kwa kweli katika dunia iliyoelimika inatakiwa kupigwa vita. Huu ni utamaduni potofu, ni sawa na kabila la wakurya kuamini kuwa mtu yeyote ambae hajaoa ni mjinga, bila kujali ana elimu gani au mchango gani katika jamii, wenyewe wanaenda mbali zaidi hadi kudai mwenye wake wengi ndio mtu wa muhimu zaidi, NI MILA ZILIZOPITWA NA WAKATI!

Kuoa ni jambo binafsi sana, halitakiwi kuwa ndio kigezo cha heshima au hadhi ya mtu katika jamii, kuna mambo mengine yasiyo binafsi ambayo ndiyo yanatakiwa kuwa kigezo vha mtu kutoheshimika au kuheshimika katika jamii.
 
Laiti kama mada hii angeleta mwanamke nina uhakika michango mingi ingekuwa tofauti na hii.
 
Sio watu wote walio kwenye ndoa wanakumbwa na misukosuko kama ya rafiki yako,kuna changamoto za kila siku kama katika maisha yetu and it makes life worth living,we need some spices hata ubongo usipoupa challenge unadorora na kuzembea.Na changamoto hizohizo zinapima imani zetu,upendo wetu,uvumilivu wetu na hatimae kujenga stronger bond.Muhimu kati ya yote uoe mtu sahihi ambae mnaendana,mnaelewana,mnapendana,mnaheshimiana n.k Haimaanishi kwa sababu mtu kajitupa baharini akazama kwasababu hajui kuoga basi watu wote wasioge.Ingia kwenye ndoa with ur head high up and be aware of what to expect and what not to expect.

Umeongea aiseee!c kila ndoa ina misukosuko,ukiipata utaipata!
 
we umejibu kweli. unastahili kuitwa 64Bit wala sio 32
ila ondoa "s" kwenye ID yako maana hakuna 64bits ila 64bit ni ushauri tu. samahani kama utakwazika.

Ahsante kwa ushauri. Kaka katika jambo la kunikwaza hili si moja wapo lol. Ni ushauri tu na unaposhauriwa una hiari ya kutekeleza au la na si kukwazika!
 
Unaogopa maisha, au unaendekeza ujana. Mawazo yanakuja tu kama mawazo mengine yoyote yale. Kuna mambo mengi yanachangia mpaka watu kufikia maamuzi ya kufunga ndoa. Ila kama akili yako imetulia ndoa utaiona nzuri, lakini kama bado ni mtu wa anasa na mambo madogo madogo huwezi fikiria ndoa.
 
Back
Top Bottom