Hivi uamuzi wa kuoa unakujaje jamani?

Hivi uamuzi wa kuoa unakujaje jamani?

Miaka 33 Mwanamme unasema huna hamu sijui hujisiki,hiyo siku yakujisikia na nguvu pia zimekwisha wanakusaidiaje kumshughulikia mkeo,nadhani unatakiwa ukuwe ki mawazo ukiwa kama mwanamme,huna hamu ya kuitwa Dad au uwe na familia yako uitwe Dad someday? kama mwenyezi mungu amekujalia uwezo tafuta mke oa ili mzee wako nae afurahi kua mwanangu amekua A Real man,na akija anakuja kuwaona wajukuu zake anacheza nao na kufurahi,huyo mtoto alokua kwa mamake bado haina raha kama pale mkeo yuko ndani ya nyumba mnale Mimba pamoja na una wish lini ntamuona mtoto wangu au lini ntamshika mtoto wangu kwa mara ya kwanza ambae ana beba jina langu, wacha niishie hapa mkuu samahani kama ntakua nimekukera...

Umenifanya nikuwaze.
 
Nina doubt kama umevuka miaka 18? huwezi kuwa mzima kwa kweli.Hujui kama kila kitu kina side effects Chukulia mfano umeajiriwa then ukapata hela nyingi ukanunua gari na hilo gari ukapata nalo ajari likakuvunja miguu then uje na conclusion kuwa TUSIMILIKI MAGARI.
NB:YALIYOMTOKEA JUMA SIO LAZIMA NA JOHN YAMTOKEE.
 
Wanasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu..... Lakini kuna wanawake wengine huwa ni shida hadi unaweza kuanza kuwaza kuwa huyo hujapewa na Mungu labda umepewa na ulinzi shirikishi
 
Wakati ukifika wala hutajiuliza mara mbili. It's like an involuntary act, unaona tu unaingia mazima.
 
Wengine wana find peace in their hearts by knowing they are doing the right thing mbele za Mungu for eg kuwa kwenye ndoa na sio kuzini. Hili linaweza kuwa sababu ya kumpelekea mtu kuoa/kuolewa. Kujua unafanya dhambi husababisha some level of guilt kwa baadhi ya watu na kupelekea kuto enjoy hiyo du.du haswa kama huyo mtu pia hupenda kusali. Unaona unasali unazini unasali unazini sasa nini hiki tena! So to be free na kupata utulivu wengine huona bora aoe
 
Wengine wana find peace in their hearts by knowing they are doing the right thing mbele za Mungu for eg kuwa kwenye ndoa na sio kuzini. Hili linaweza kuwa sababu ya kumpelekea mtu kuoa/kuolewa. Kujua unafanya dhambi husababisha some level of guilt kwa baadhi ya watu na kupelekea kuto enjoy hiyo du.du haswa kama huyo mtu pia hupenda kusali. Unaona unasali unazini unasali unazini sasa nini hiki tena! So to be free na kupata utulivu wengine huona bora aoe
 
hata kama una 33yrs nahisi bado hujaiva kuwa na mke (wewe bado mtoto). ukikua wala hutakuja JF kuuliza inakuwaje. Yaani utajikuta bila kulazimishwa unaanza kuhaha kutafuta mchumba kama unavyotafuta hao wa siku moja moja.
Mimi mkuu nina 40 saa hizi ila fikra zangu ni exactly kama za huyo kijana, nitakuwa lini mkuu?

Huwa najiuliza waliooa kiliwamotivate nini?
I have never thought of marriage!!
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Endelea kuckiliza hao walevi hvyo hvyo, wala usihangaike kuoa. Maana unataka kulazimisha kuwa maisha ya kila mtu yanafanana, eti kwasbbu watu sita au kum walikuambia ndoa zao zina purukushan bas unajua na ww ndoa yako itakuwa na purukushan tu.! usikremishe maisha, sio ajabu hao wenzio wanakuletea hbr za ndoa mbaya lakn kumbe wenyew wameoa. Kuoa n heshma kwenye jamii, lasivyo utaishia kuonekana mhuni tu.. Lakn km wazo huna usilazimishe we endeleaa kukaa tu hakuna tatzo, wazo litapokujaga bas itabd utafute mzee mwenzio mmalizie uzee pamoja..
 
Endelea kuckiliza hao walevi hvyo hvyo, wala usihangaike kuoa. Maana unataka kulazimisha kuwa maisha ya kila mtu yanafanana, eti kwasbbu watu sita au kum walikuambia ndoa zao zina purukushan bas unajua na ww ndoa yako itakuwa na purukushan tu.! usikremishe maisha, sio ajabu hao wenzio wanakuletea hbr za ndoa mbaya lakn kumbe wenyew wameoa. Kuoa n heshma kwenye jamii, lasivyo utaishia kuonekana mhuni tu.. Lakn km wazo huna usilazimishe we endeleaa kukaa tu hakuna tatzo, wazo litapokujaga bas itabd utafute mzee mwenzio mmalizie uzee pamoja..
Mis powers itabidi nikutafute tuzungumze zaidi
 
Last edited by a moderator:
We unafikiria ndoa hawa wanawake hata kutongoza siwataki acha kuoa,nimpeleke wapi mambo ya kupeana tu stress
 
Tunasubiri hyo ndoa yako ukiwa na miaka 50 maana hapo nahisi akili ndo itakua imekukaa sawa!!
 
Umepata laana kwa huyo uliyezaa naye.Hujui aliteseka kiasi gani ulipoamua kuachana naye wakati tayari anamimba yako na mapenzi na matumaini.Kuoa wakati mwingine kunatokana na kumpata mtu kama huyo uliyempata ukamchezea.Uwezi kuwa sawa kwa umri wako usiwaze ndoa.Uwezi kuwa mzima na lijali usio tabu ya kutokuwa na mke.Kumbuka mke ni heshima.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, yaani katika maisha yangu yote toka nipo chuo hadi namaliza sikuwai kuwa na mawazo wala kufikiria kuoa, wakati nipo mwaka wa 4 chuoni nilimpa mimba mwanamke niliekuwa nae kwenye mahusiano, ni mimba ambayo haikuwa kwenye makubaliano na ilileta pukurushani sana, lakini nilichokuja kukigundua ni yule niliyezaa nae ni kama aliweka mtego flani wa mimba ili nimuoe.

Lakini hicho kitu hakikutokea kutokana na msimamo wangu maana niliona vijana wengi wanaingia kwenye hio mitego kisa kumpa mtu mimba huishia kuoa baadae inaleta shida ni kama mtoto ndie anaefanya ile ndoa iwepo tulifanikiwa kupata binti hadi sasa ana miaka 6 na yupo kwa mamake mahitaji yote yanapelekwa ikiwemo ada katika shule zetu zile za kisasa jamani apetite ya kuoa ilianza kunitoka kutokana na ndoa za marafiki zangu zilivyokua zinaenda shaghala bagala.

Kuna rafiki yangu mmoja tumemchangia hela nyingi aoee wameoana hata miaka miwili haijafika kumbe bint alikuwa na uhusiano na mzungu na kazaa mtoto wa kizungu pure ndoa ikafia hapo hapo, wenigne tukikaa kwenye vikao vyetu vya bia ndo wanakwambia kabisa kama hujaoa bora ujitulize dogo utaishi vizuri sana jamani sio siri maisha yangu ni mazuri sana hayana stress za wanawake kabisa ingawa umri unaenda sina mawazo hayo kabisa.

Hata nikiwa na mahusiano na mwanamke nitamwambia nina mtu na yeye anaiba basi usumbufu wa kuoana unapungua sema tuu mother ndio anasumbua kila akipiga simu tukipiga story za hapa na pale atagusia hilo swala la kuoa lakini halazimishi yeye anasema tuu mzee wako kaondoka hujaoa hutaki hata mimi nione harusi yako.

Maana kila siku sisi tunachangia watu tu, hivi mlioa au kuolewa hayo maamuzi yalikuja tuu au kuna maombi ndani yake? Maana wengine mawazo hayo hatuna kabisa yaani, mawazo yangu huwa ni kutafuta hela tu sasa sijui kwasababu nina haka katoto kangu kabinti kamoja kanakofanya hata nisifikirie.
kama huna apetite ya kuoa,huenda unayo ya kutaka kuolewa.
 
Inaonyesha wewe sio muumini wa dini yoyote. Anza kumcha mungu na hiyo itakuondolea uzinifu na kupata wazo la kuoa.

Tafuta maana ya ndoa, faida ya mke, na kwa nini mungu ameweka huu muungano wa mke na mume, then utapata sababu ya kuoa mdogo wangu.

Vile vile kila kitu kina wakati wake, kama unaona bado be patient, otherwise OA
 
Back
Top Bottom