Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
,,,,,,Habari zenu wakuu??,,,,
Nadhani nyote ni wazima wa afya ningependa kupata ufafanuz kutoka kwenu hivi kwanini TCU capacity wameweka chache yaani si kwa diploma holder wala form six leaver
Je wanahofia mikopo au kupunguza wasomi???.
Kwa mfano mm chuo nachoomba capacity 550 chaguo la mwanzo wapo 2000 hivi kweli tutafika????.