Hivi Tundu Lissu anahitaji kufafanua zaidi??

Halihitaji mjadala Mkuu, Kamanda Lissu aliona mbali sana na maneno haya mawili aliyoyatumia na kusababisha kuwekwa ndani sasa ukweli wake unazidi kudhihiri.

Pole sana Mkuu kwa kuwekwa rumande kwa miezi minne na kutokuwa pamoja na familia yako, ndugu jamaa na marafiki katika kipindi chote hicho na hasa kwenye sherehe za Christmas na Mwaka Mpya.

I salute you Sir for everything that you do for our beloved Nation.

Kwa mara ya kwanza neno Dikteta Uchwara liliingia katika soko baada ya TL kuhusisha neno hilo na jinsi JPM anavuoendesha utawala wake. Mabishano na malumbano yaliibuka huku baadhi wakitetea. Je suala la yeye kufanana na Udikteta bado linahitaji mjadala??
 
Halihitaji mjadala Mkuu, Kamanda Lissu aliona mbali sana na maneno haya mawili aliyoyatumia na kusababisha kuwekwa ndani sasa ukweli wake unazidi kudhihiri.

Pole sana Mkuu kwa kuwekwa rumande kwa miezi minne na kutokuwa pamoja na familia yako, ndugu jamaa na marafiki katika kipindi chote hicho na hasa kwenye sherehe za Christmas na Mwaka Mpya.

I salute you Sir for everything that you do for our beloved Nation.
kiukweli mtukufu no 1 ameonyesha uchu wa kuwa Dikteta has a. Tuungane kumkemea la sivyo nchi itavurugika zaidi
 
Tunahitaji kumuomba Mola mihimili mingine ijitambue na kumkabili kama majaji walivyo hitimisha dhamana ya lema kule Arusha.pamoja na mikwara yake na vitisho dhidi ya wabunge wa chama chake kweli Mungu tuhurumie ili huyu Uchwara ashindwe
Mihimili mingine kisaiziba mdomo
 
Hii hotuba ni muhimu sana wakati huu huyu malaika mkuu anajitahidi kupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania.

Tunahitaji kumuomba Mola mihimili mingine ijitambue na kumkabili kama majaji walivyo hitimisha dhamana ya lema kule Arusha.pamoja na mikwara yake na vitisho dhidi ya wabunge wa chama chake kweli Mungu tuhurumie ili huyu Uchwara ashindwe

Mkuu Anajua anachofanya .... si unakumbuka kwenye ule mhimili wakati Fulani mkuu wa nishati alitoaga mlungula ili mipango yake ya hovyo isihojiwe? Tukubali kua hii mihimili ilikua haijitambui na asipoikemea itamkwamisha!
 
Hii hotuba ni muhimu sana wakati huu huyu malaika mkuu anajitahidi kupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania.

Umeshazisikia toka Dikteta Uchwara aingie??Ziliewekwa enzi ya JK tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sioni uhusiano uliopo kati ya hiyo clip na uongozi wa sasa. Uongozi wawa haukuingia kwa ukabila au udini.
Tundu Lisu aasche kutukana watu. Hasa viongozi. Hana anachotetea. Akimaliza kutukana ccm na viongozi wake atageukia chadema. Hata hapo ndani ya chadema ni jini lililotoka kwenye chupa huwezi kulirudisha.
Atoe hoja, sio matusi. Hata huko anakogombea sasa, akipata atakuwa uncontrolable.
Wananchi wanapenda kukusanyika kuangalia na kusikiliza vitu visiokuwa vya kawaida kama ugomvi, ajali, cinema n.k. Si ajabu kuona Lisu na Lema kuona wakuhutubia wakakusanya watu kumuwasikiliza kujua watasema viroja gani.
 
Anapo sikiliza hii clip au hao wapambe wake wanaposikiliza je dhamira haiwasuti. Kama haiwasuti basi they are died alive n.a. mtu kama huyu ni hatari kuliko ukumbi.
 
Nafikili lisu nyie supportes wake hamjui maana ya dikteta ndo maana mnaongea tu utadhani mtoto analilia uji. Ongea ujinga libya ya ghadafi, ropoka ujinga enzi za idd amini uganda, na hata sasa sema ubuyu rwanda. Huo ndo udikteta. Hata museven hajafikia hatua kuitwa dikteta. Ujue wapinzani mmekosa hoja za kuongea majukwaani. Nyie mnapanua midomo yenu tuuuu, mara diktetaaaaaaa, anaoneaaaaa, anabaka demokrasiaaaaaa, miaka mitano ikiisha mje kutuomba kura, this time nitawauliza mmetufanyia nini.
 
Zikowapi hoja za mafisadi, mbona hamuongei tena habari za dowans, meremeta ooh sijui richmond. Yaan sera hamna saiz mmefilisika kisiasa
 
Back
Top Bottom