Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
Lbd wale wachukua mafunzo kupitia Discovery chanell[emoji41]
Wapo ila wanaitwa Wambea au machakubimbiNauliza je kuna wapelelezi binafsi Tanzania? Utendaji kazi wao ukoje (effectivenes and efficiency) .
Natamani kujua zaidi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], u r warmly welcome.Hahahaha you might be the assignment nikaumbuka bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Si unajua huku behind the keyboard you could be my neighbour next door or my boss!!Asante lakini
Mwakiazi aliwajua fika wabaya wake ila uwezo wa kuwafunga kengele ndio hakuwa nao. Maana alienda mbali zaidi hadi kutamani PI zingepewa nguvu kisheria. Siri waliijua wao na swahiba ake marehemu 6. Ila jamaa alivyorudi akatundikwa uwaziri soo liliyeyuka kama barafu kwenye jua la saa nane alasiriYule demu mpiga deki wa ofisi ya mwakye alikuja kufa kifo cha utata, mhusika mkuu nae alikuja kuchezewa kaunta attack kwa kuwekewa poison nae ni mgonjwa..
Kuna thread ilisha wah kujadiliwa inayo husu haya mambo ya private investgation
I'm an addict wa hiyo channel yani esp. hiyo ya PI's. Raha sana wenzetu wanavyofanya ila ni kwasababu kwao ni legal na wanakua wamesomea.Lbd wale wachukua mafunzo kupitia Discovery chanell[emoji41]
Shida yako mbona rahisi mtumie Da Mange tu within few hours unapata unachokitaka yeye ana stationed Katsas wanaompa taarifa .Eeeeh baba we [emoji23] hao wa mheshimiwa mie I can't afford them bhana [emoji23][emoji23]!!Ka information kenyewe nnakotaka hakajai hata mkononi .Asante for the insight lakini.
Mmmh kile kichwa kinawaka moto.... anaweza akugeuke yule chizi!Shida yako mbona rahisi mtumie Da Mange tu within few hours unapata unachokitaka yeye ana stationed Katsas wanaompa taarifa .
It's a risk u have to take kwani PI akibananishwa unafikiria hawezi kukugeuka ?Mmmh kile kichwa kinawaka moto.... anaweza akugeuke yule chizi!
Haya mambo ya mitandao unaweza kuhisi una mkomoa mtu af yakakugeuka.It's a risk u have to take kwani PI akibananishwa unafikiria hawezi kukugeuka ?
Sasa kwanini uhangaike kufanya jambo ambalo unajua lita backfire na hauna contiguous plan ?Haya mambo ya mitandao unaweza kuhisi una mkomoa mtu af yakakugeuka.
Sort off.... But more complicated than that!Why do you need a private investigator? Is your wife or husband cheating on you? Most of the times when one is looking for a private investigator is because a spouse has cheated or is suspecting being cheated.
Njoo pm nikupeleke sehemMsala as in what?? I have a little assignment natamani ningepata PI maana I need some info so badly!!!
Mie mwenyewe ni PI ila amateur [emoji6]...wish ningepata.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Njoo pm nikupeleke sehem
I knew it!Sort off.... But more complicated than that!
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG]Nauliza je kuna wapelelezi binafsi Tanzania? Utendaji kazi wao ukoje (effectivenes and efficiency) .
Natamani kujua zaidi....
Yeah and if it's illegal u can't trust them with someone's info. Like I can't give them details of my subject coz if anything happens na ikagundulika the subject was being investigated ,it'll be traced back to me.I knew it!
Well, in Tanzania there are people who can do the task but they are not licensed cause it is illegal to run a private investigation company in this country.
sheria ya Tanzania hairuhusu kuwepo kwa wapelelezi binafsi(PI) kwasababu kazi hiyo ni jukumu la jeshi la polisi pekee na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vyenye mamlaka ya kufanya hivyo.asikudanganye mtu Tanzania kuwa anafanya PI kihalaliNauliza je kuna wapelelezi binafsi Tanzania? Utendaji kazi wao ukoje (effectivenes and efficiency) .
Natamani kujua zaidi....
Mmmmh dalali na shushushu wapi na wapi?[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG]
Wewe jongea inbobo.