Matokeo yake wanatukana hadharani sasa..
Sijambo... Mtu Chake hajambo?
Hapo kwa Kanumba kuna tatizo gani la kiuandishi?
kwa gazeti nimeelewa, ila kwa hilo bango la kaburi la kanaumba sijaelewa kosa lake!
Hata mie sijaona kosa kwa ile ya RIP...
Hata mimi mara ya kwanza sikuona kosa,ila kuna neno "wanye"badala ya "wenye"
Hata mimi mara ya kwanza sikuona kosa,ila kuna neno "wanye"badala ya "wenye"