CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
Hawakuishiwa ila hawawezi kuyaandika yaliyo ya maana kwasababu akili zipo parking ccm. Mjue kwamba wenye vyeo katika vyama vya wafanyakazi na vyuo vya elimu ya juu ni makada wa ccm, na hawawezi nyoosha maneno.Tucta waliishiwa ya kuandika kwenye risala
Na Morogoro? Hujawaona MASHABIKI WA YANGA walivojaza uwanja na Kapelo ZAO!Hawakuishiwa ila hawawezi kuyaandika yaliyo ya maana kwasababu akili zipo parking ccm. Mjue kwamba wenye vyeo katika vyama vya wafanyakazi na vyuo vya elimu ya juu ni makada wa ccm, na hawawezi nyoosha maneno.
Jana Arusha na mvua yote ile na baridi juu, watu wamevalishwa t-shirt zao zile wa watumishi wakaambiwa wasivae masweta au jacket eti t-shirt maandishi yake hayataonekana. Wanatetemeka meno yanagongana wakiwa wanaandamana. Jana lazima ngiri haikuchagua me au ke, kulaalek.....
Sikuangalia Tv Mkuu wangu. Mi naamini zile kapelo na t-shirt zinanenewa. Haiwezekani kabisa mtu akishazitinga asisikie baridi wala jua.. Yaani watu wanakuwa kama wanatembea wakiwa usingizini. Halafu wanajutaga balaa baada ya siku hiyo kwisha. Jana walijua kichele kitaongezeka, subutu......Na Morogoro? Hujawaona MASHABIKI WA YANGA walivojaza uwanja na Kapelo ZAO!
Na bado....lakini huwezi jua, mvumilivu hula mbivu japokuwa zinakaribia kuoza. Kitu nina uhakika nacho ni kuwa, hata kama miundombinu ambayo ni muhimu kuliko maslahi yenu itakuwa haijakamilika, mtakula shavu 2019/20 kwasababu ya yale mambo yetu....Maskini ss wafanyakazi sjui tulimkosea nn huyu baba