GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Ni kama vile tokea atoke Kolokoroni pale Central Police huyu Msanii TID amezidi kuwa ni kama Mtu aliyechanganyikiwa. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa sana interviews zake katika Media na Social Platforms zingine na kugundua kuwa athari za matumizi ya dawa za kulevya bado hazijamalizika kunako Ubongo wake.
TID amekuwa :
TID amekuwa :
- Mpayukaji
- Mbwabwaji
- Mkurupukaji
- Hajielewi
- Mpigaji mikelele hovyo
- Analazimisha kujipendekeza
- Mwongo