Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Labda tuithaminishe kwa GDP ya mwaka,kwa mwaka GDP ya Tanzania sidhani kama inazidi 20Billion USD,hivyo mtu mwenye cheque ya 20B USD anaweza inunua nchi kwa muda wa mwaka mzima,na vitu vyote vilivyomo na watu wake...

Concept ya pili ni kwamba inajulikana dunia nzima ina thamani ya 400Trillion USD,labda tukigawanya kwa jumla ya nchi duniani tunaweza pata kwa wastani thamani ya nchi moja....wastani wa idadi ya nchi duniani ni 250,hivyo kwa wastani nchi inaweza kua na thamani ya 1.6Trillion USD,ambapo kwa utajiri wa Bill Gates wa 75Billion USD hawezi nunua,ila wakijiunga Bill Gates,Mzee wa Hathway,Carlos Slim na Ambani wanaweza inunua...hii ina maana,watu waliomo,ardhi,na mali zote kama zilivyo milele na milele.
U r genious. Lakini lazima kuna dhamani ya nchi ambazo hata bank za kimataifa hutumia kuevaluate tukiwa tunaomba mikopo.
 
Nchi hata ikiuzwa utaishia kulipia deni unalodaiwa kama mtanzania...
 
Ila kweli. Tuuze mikoa ya mipakani ili tupunguze ukubwa wa nchi. Naisi nchi ikiwa ndogo labda itasaidia kupunguza matumizi. Kuna mikoa humu tz hata haina faida kabisa. Ikiwezekana hata tuigawe bure.

Mbona mmeusahau mkoa mkuu Wa pale katikati? Uuzwe nao maana suoni faida yake ili matonya kuja Dar kuomba waanze kuomba visa kwanza.
 
Yaan nchi hii ipo chin ya mzungu kitambo tu...tuna endeshwa na mzungu kwa kutumia remote...ndio mana unaona madin yanaenda kwao direct..kiongoz atakaeuliza ataambiwa tulipe den letu tukuachie...yaan cjui nikupe mfano gan..in short, western states are smart n we will remain poor n slaves for the rest of our lives
 
Ndyo maana wanatubana kwa kutupa mikopo. Mikopo mibaya asee. Unaweza ukaacha mkeo aliwe na anayekudai.
 
U r genious. Lakini lazima kuna dhamani ya nchi ambazo hata bank za kimataifa hutumia kuevaluate tukiwa tunaomba mikopo.
Ndio iliyo ikumba ugiriki, ishachukua mikopo mitatu ya imf kiasi ambacho sio rahisi kurudisha kwa miaka hii, yote hayo ni kutokana na chama fulani kujiona kuwa wao ndio wenye uwezo wa kuongoza nchi.

Ugiriki katika nchi za ulaya ilikuwa upo mbali sana kiuchumi leo hii,ilifikia muungano wa European kutaka kuitoa ugiriki kwenye muungano kwa sababu ya ku shindwa kutimiza mashart na moja ni uchumi.
 
Tanzania huwezi kuinunua kwa vyovyote

Kwanza utatakiwa ulipe deni la nchi inayo daiwa more than 50 trilion

Sifikirii kama nchi ina dhamani ya trilion 40 tena wazungu walisha pora mali zote!!

Tanzania nafikiri imebaki tu gofu!!
kumbe wajua sasa kinachokufanyaga kipofu kule jukwaa la siasa nnn kujifanya kada wa lumumba?
 
Watu kaz hakuna mpaka wanakosa vya kuwaza..

Ngoja basi nichangie
Hakuna kiumbe wala nchi yyt inaweza kununua tanzania my b ni gharama kubwaa sana
Kumbuka hii nchi ina madini kila aina na.bado yapo kwa wingi wa ajabu

Dhahabu tuu inapatikana ktk kila mkoa hapa tz
Almasi
Nickel
Tanzanite
Nk
Bado tukisema tunaunza nchi inamaana unauza na raia ,sasa nani anaweza kubali kununua wajinga wenye mawazo kama haya..

Watu wanalalamika kaz hakuna wamekaa mjini,huku bush tunakosa vijana wakupalilia mashamba,kupulizia dawa waliopo wanalinga wanawaza kwenda kutazama movis za kikorea zilizo tafsiliwa

Njaa yaja akili timamu zitarud tuu,shida huleta maarifa
 
Unapo nunua kiwanja unanunua na mwenye kiwanja?
 
Leo nimejiuliza sana. Hivi nchi ya Tanzania inaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Hili swali limeibuka baada ya kujiuliza kwa mfano watanzania tukikubaliana nchi yetu iuzwe kila mtu achukue chake. Je katika uo mgao kila Raia wa Tanzania atachukua kiasi gani?

Tumuuzie mtu kama Dangote atupe hela yetu tukae kama wapangaji. Au kama vipi mtuunasepa.
 
Huyo Mohammed interprises ana dola billion 1.8,,Bahressa ana dola billion 1.2 ,mengi sijui anangap je hao watu wawili wakiamua kupunguza deni tukizikokotoa kwa pesa madafu deni litabaki sh ngp? Hakuna nchi yyte inayoweza kuinunua Tanzania nahis itabid wateneneze hela nyingine za kujazia maana itafilisika
 
Unadhani pesa zinaprintiwa ovyo? Muulize mugabe alivyoyaprint ovyo kama kichaa yaliyomkuta baada ya apo
 
Back
Top Bottom