Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Leo nimejiuliza sana. Hivi nchi ya Tanzania inaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Hili swali limeibuka baada ya kujiuliza kwa mfano watanzania tukikubaliana nchi yetu iuzwe kila mtu achukue chake. Je katika uo mgao kila Raia wa Tanzania atachukua kiasi gani?
 
Tanzania huwezi kuinunua kwa vyovyote

Kwanza utatakiwa ulipe deni la nchi inayo daiwa more than 50 trilion

Sifikirii kama nchi ina dhamani ya trilion 40 tena wazungu walisha pora mali zote!!

Tanzania nafikiri imebaki tu gofu!!
 
Ni majambazi ndyo wameifanya iwe ivyo.
 
Kweli maisha magumu.

Leo nimejiuliza sana. Hivi nchi ya tanzania inaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Hili swali limeibuka baada ya kujiuliza kwa mfano watanzania tukikubaliana nchi yetu iuzwe kila mtu achukue chake. Je katika uo mgao kila Raia wa Tanzania atachukua kiasi gani?
 
Hivi hakuna uwezekano tukauza baadhi yua mikoa kama kagera kigoma
Ila kweli. Tuuze mikoa ya mipakani ili tupunguze ukubwa wa nchi. Naisi nchi ikiwa ndogo labda itasaidia kupunguza matumizi. Kuna mikoa humu tz hata haina faida kabisa. Ikiwezekana hata tuigawe bure.
 
Tanzania huwezi kuinunua kwa vyovyote

Kwanza utatakiwa ulipe deni la nchi inayo daiwa more than 50 trilion

Sifikirii kama nchi ina dhamani ya trilion 40 tena wazungu walisha pora mali zote!!

Tanzania nafikiri imebaki tu gofu!!
Sasa mkuu
Ikiwa nchi ina deni hilo na kwa rasilimali za haiwezi kulipa hilo deni, imf inaweza kuchukua nchi kama nchi nyengine zilizo shindwa kulipa deni.
 
Back
Top Bottom