The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,805
Hata hizo camera zao sio nzuri, siku wakitangaza sensor wanayotumia unakuta imetumika na makampuni mengine miaka 3 iliopita.Mimi ni mtumiaji wa simu na mpenzi wa simu za samsung s series au note series.
Kuna hizi simu za tecno, naona watu wengi wanazo na wanatumia kuwasiliana, ila kama unavyojua hizi digital devices zinaweza kua mult purpose.
Ndio maana nauliza hizi tecno ni kamera au ni sim, yaani primary function zake ni nini, camera kwa ajili ya picha au sim kwa ajili ya mawasiliano.
Kama ni simu maana yake primary function zake ni mawasiliano na picha hua ni secondary, lakini naona matangazo yake ni more of pictures kuliko ubora katika mawasiliano.
Kila nikiona tangazo la tecno naona ni megapixel tu na mapicha, ndio maana nikashindwa kuewa hizi hua ni simu au camera zenye uwezo wa simu?
Kuuliza sio ujinga wakuu na aulizae anataka kufaham.
Rudi shule ujifunze kusoma na kuelewa.Acha ujuaji wa kijinga! Yaani unakiri kwamba unaona watu wakizitumia kwa mawasiliano alafu unauliza ni camera au ni simu?
Basi tukujibu kwamba ni camera za mawasiliano
😂😂😂😂😂Ukipigwa picha na camera ya tecno jinsi unavoonekanaView attachment 976294
Unatumia Tecno bishaaaAcha ujuaji wa kijinga! Yaani unakiri kwamba unaona watu wakizitumia kwa mawasiliano alafu unauliza ni camera au ni simu?
Basi tukujibu kwamba ni camera za mawasiliano
Kwani nikitumia tecno kuna tatizo? Au nimeingilia maisha ya mtu?Unatumia Tecno bishaaa
Hill jibu la kufungia mwaka,CAMERA ZA MAWASILIANO hoyeeeeee!!!!!!!!Acha ujuaji wa kijinga! Yaani unakiri kwamba unaona watu wakizitumia kwa mawasiliano alafu unauliza ni camera au ni simu?
Basi tukujibu kwamba ni camera za mawasiliano
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipigwa picha na camera ya tecno jinsi unavoonekanaView attachment 976294
Daah unadharau kinoma any way Ipo hivi kwa sisi watumiaji wa tecno tuna zitumia kama simu yani kufanya mawasilianoMimi ni mtumiaji wa simu na mpenzi wa simu za samsung s series au note series.
Kuna hizi simu za tecno, naona watu wengi wanazo na wanatumia kuwasiliana, ila kama unavyojua hizi digital devices zinaweza kua mult purpose.
Ndio maana nauliza hizi tecno ni kamera au ni sim, yaani primary function zake ni nini, camera kwa ajili ya picha au sim kwa ajili ya mawasiliano.
Kama ni simu maana yake primary function zake ni mawasiliano na picha hua ni secondary, lakini naona matangazo yake ni more of pictures kuliko ubora katika mawasiliano.
Kila nikiona tangazo la tecno naona ni megapixel tu na mapicha, ndio maana nikashindwa kuewa hizi hua ni simu au camera zenye uwezo wa simu?
Kuuliza sio ujinga wakuu na aulizae anataka kufaham.
[emoji28][emoji28]Ukipigwa picha na camera ya tecno jinsi unavoonekanaView attachment 976294
Highest level of imferiority complex.Natumia tecno hapa, ndo Simu ya uwezo wangu Mimi...siwezi dharau wengine kwa7b wanatumia Simu kulingana na uwezo wao