mkuu hata mimi nimejiuliza swali kama hilo hawa jamaa sio kabisa,lakini uzuri kesho tutawaonesha jeuri ya nguvu ya ummawanatengeneza cd za kumtukana lowassa wazi wazi! Mmeona ni wapi vyombo vingine vinafanya uchafu huu? Tcra ninyi ni watumishi wa umma mnawatikia kina nani? Mnakaaje kimya huku mkijua kua startv nyenendo zao ni chafu? Wanatukana wazi wazi kwanini?
Hebu taja tusi mojawapo.
kila mwana ukawa hadi mgombea wenu analia kuonewa
Wanatengeneza CD za kumtukana LOWASSA wazi wazi! Mmeona ni wapi vyombo vingine vinafanya uchafu huu? TCRA ninyi ni watumishi wa umma mnawatikia kina Nani? Mnakaaje kimya huku mkijua kua STARTV nyenendo zao ni Chafu? Wanatukana wazi wazi kwanini?
Sasa yale si maoni ya mama ntilie aliyekasirishwa na ulaghai wa lowassa kujidai anawatembelea ili apate kura.Kuna CD wamemrekodi mama mmoja akimsema LOWASSA alipoenda Tandale, anamwambia eti ni Rais au matatizo! Kwali unamwita mtu aliyewahi kua waziri mkuu matatizo tena mkanda umetengenezwa na chombo cha habari kikubwa kabisa! Startv ni hovyo kabisa!
Mkiekewa kwa urefu kuhusu Nyerere na mabadiliko mnachukia.Star TV ni hopeless kabisa.
Mi nilishaiblock siku nyingi iyo.
Wanafanya mambo Utafikiri huu uchaguzi unafanyika milele. So stupid.
bado mtalia sanakwani wakuu wa tcra si wanapewa kazi na mwenyekiti wa ccm acha kujichosha hii nchi inahitaji zaidi ya uponyaji
Wanatengeneza CD za kumtukana LOWASSA wazi wazi! Mmeona ni wapi vyombo vingine vinafanya uchafu huu? TCRA ninyi ni watumishi wa umma mnawatikia kina Nani? Mnakaaje kimya huku mkijua kua STARTV nyenendo zao ni Chafu? Wanatukana wazi wazi kwanini?
Kuna CD wamemrekodi mama mmoja akimsema LOWASSA alipoenda Tandale, anamwambia eti ni Rais au matatizo! Kwali unamwita mtu aliyewahi kua waziri mkuu matatizo tena mkanda umetengenezwa na chombo cha habari kikubwa kabisa! Startv ni hovyo kabisa!
fafanua wametukana kwny kpnd gan, na tus gan wametukana?