Hivi TBC wanapotuaminisha kwamba Rais Trump wa Marekani alimsifu Mh rais wetu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,232
Wanapata wapi habari hizi ambazo hata hatupewi details kama:
1. Kuna barua iliyotumwa kwa JMT kusifu utendaji wa rais wetu
2. Au kuwe na insert anayosikika Trump mwenyewe akisikika kuisifu serikali ya rais Magufuli
3. Au hata balozi wa US hapa TZ akilizumgumzia hili.

Hivi Dkt Ayubu Rioba msomi wa juu wa habari Tanzania unaruhusu kweli media unayoisimamia irushe hoaxes?,kweli mzee?...NIMESIKITIKA sana...
halafu msomaji nae anajinasibu kabisa! dah!,so sad.
International media zenye credibility hazijarusha habari hii mmeipata wapii na how credible is hicho chanzo chenu?
 
Labda niulize tu kwamba hata kama ni kweli kamsifu je ndio uhalisia? Je kama nchi tumefaidikaje na hizo sifa..nachoshwa mno na wasomi wetu
 
Yaani mkuu kinachosikitisha ni kutulisha habari za uongo tunafahamu kuna vyanzo credible vya habari kimataifa kv bbc cnn aljazeera sabc irin Reuters afp ap etc sasa hao wote hawajatoa hiyo news na imo kwenye vijimitandao vya uongo na ukweli wasijue day in out tunafuatilia international news pia,hawa jamaa wanakera aisee
 
Wanapata wapi habari hizi ambazo hata hatupewi details kama:
1. Kuna barua iliyotumwa kwa JMT kusifu utendaji wa rais wetu
2. Au kuwe na insert anayosikika Trump mwenyewe akisikika kuisifu serikali ya rais Magufuli
3. Au hata balozi wa US hapa TZ akilizumgumzia hili.

Hivi Dkt Ayubu Rioba msomi wa juu wa habari Tanzania unaruhusu kweli media unayoisimamia irushe hoaxes?,kweli mzee?...NIMESIKITIKA sana...
halafu msomaji nae anajinasibu kabisa! dah!,so sad.
International media zenye credibility hazijarusha habari hii mmeipata wapii na how credible is hicho chanzo chenu?

Freaking news
 
Wako chumba cha mahututi gereza la fikra finyu
 
Halafu nasikia ndo media yenye wasomi wengi,kama wasomi wenyewe ndo hawa wanaotulisha fake news basi janga...angesikia Trump mwenyewe angesema 'That's fake media,fake news ignore it BIGLY!'
 
Tatizo mmewasahau sana TBC na mmekomaa na Clouds imebidi watafute kiki hii nchi bila kutafuta kiki unapotea kirahisi tu mbona viongozi nao wanadanganya sana ili tuwakumbuke.
 
Kwa mwendo huu TBC itapoteza sana umaarufu.Haitaweza kamwe kushindana hata na vituo vidogo kama E-FM.Kimataifa ndio haitaweza kabisa kuvuka Mpaka.
 
kama wanataka kurudi on top au kick watangaze kwamba kiumbe yule ameoneshaaa vyeti vyake live mbele ya hadhara na mwakagwajima pembeni
 
Wanapata wapi habari hizi ambazo hata hatupewi details kama:
1. Kuna barua iliyotumwa kwa JMT kusifu utendaji wa rais wetu
2. Au kuwe na insert anayosikika Trump mwenyewe akisikika kuisifu serikali ya rais Magufuli
3. Au hata balozi wa US hapa TZ akilizumgumzia hili.

Hivi Dkt Ayubu Rioba msomi wa juu wa habari Tanzania unaruhusu kweli media unayoisimamia irushe hoaxes?,kweli mzee?...NIMESIKITIKA sana...
halafu msomaji nae anajinasibu kabisa! dah!,so sad.
International media zenye credibility hazijarusha habari hii mmeipata wapii na how credible is hicho chanzo chenu?

Kwani hata akimsifia huyo Trump ni Mungu?! Trump nae ana mapungufu yake kibao tuu huko alipo....! Hivi niulize viongozi wa Afrika huwa wanafanya kazi kuw-please wazungu ama wanafanya kazi kum-please Mungu na kuwa-please wananchi wake walowaamini na kuwapa madaraka.....Africaaaa it's time to smart up!!!!!!
 
Back
Top Bottom