Hivi TBC hawana wabunifu wa vipindi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF,
Mimi sio muangaliaji sana wa hii TV ya Taifa (TBC) siku za mapumziko ya wiki ndio napata nafasi ya kuangalia leo wiki ya tano (5) wanarudia kuonyesha vipindi vile vile, saa nne usiku jumamosi kipindi cha Timeless, na Cinema moja mbovu kabisa aina kiwango ya wahuni wa Tanzania kila Jumamosi wanaionyesha, bora ata wangekuwa wanatuwekea vipindi vya wanyama wa Serengeti au Mbuga yoyote Tanzania
 
Naona siku hizi wameishiwa kabisa, inarudi kwenye TvT.
 
Back
Top Bottom