Msakuzi Ad
Member
- Feb 11, 2019
- 27
- 25
Haya Wanasema subira ya vuta kheriTutafika tu mahali pazuri , hakuna safari ya mafanikio yasiyokuwa na changamoto!
Changamoto zote izo zinakuja kutufanya kufanya makubwa zaidi kuliko apo awali.....worry not
Hapa kwenye jambo la ajira ni janga kwa taifa kila kona vijana tunalia na serikali. na kwa waliopata ajila nao wanalia mishahara midogo haiendani na elimu walio nayo....so sad[emoji22]Anaye maliza degree umri ni 24, 25, 26 +.. Elimu yetu inapotezea watu mda ikiwa ajira zenyewe siyo uhakika
Mitaala ya elimu mibovuTatizo la Elimu tunayopata Leo inabomoa maadili halisi ya Kiafrika yaliyojaa Utu na thamani.