Mughanga Group
Member
- Jul 23, 2021
- 7
- 13
Na kuita raisi dikteta ni sawa ?Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi
Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?
Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Hii sumu ni mbaya sana ogopa sana kitu kinasambaza kwa mionzi yaani uwe hata umbali wa mita 100 kitu kinalengeshwa kwako ile hewa tuu ikikupata puani ukaivuta kwisha habari yako.shikamoo mrusi.Yaweza kuwa hao Viongozi wetu Wazito akina KIJAZI, MFUGALE nk wanapulizwa kitu cha MRUSI Stuka kijana hiii ni karne ya Kizazi cha Laaana usimteteee mtu na nafsi yake. Kuna kundi linalengwa kwa Series ya hivi vifo siyo Burreee!
Lini Tanzania ilifungwa na nani aliyeifunga?Kwa hiyo acha tu iwe hivyo, tukomeshe ugaidi kwanza. Tufungue nnchi.
Mboe [emoji58][emoji58][emoji58]Lini Tanzania ilifungwa na nani aliyeifunga?
Kuna siku tutachinjana ili tuheshimianeMbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi
Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?
Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Fafanua please, Mbowe aliifungaje nchi.Mboe [emoji58][emoji58][emoji58]
Kwa kuisemea vibaya Serikali kwa wafadhili...!Fafanua please, Mbowe aliifungaje nchi.
Upo. Kamanda mbowe anajuaMbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi
Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?
Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Hiyo ndio sababu? Nitajie madhara ambayo Nchi imeyapata, ambayo sasa unataka yafunguliwe.Kwa kuisemea vibaya Serikali kwa wafadhili...!
Ila kuwaita mabeberu sawaNa kuita raisi dikteta ni sawa ?
Kuwaambia wafadhili na wawekezaji wasije Tanzania ni sawa.?
Mimi nadhani wamewasaidia na ajenda zenu juu ya Tanzania kutopewa misaada.
Kwa hiyo acha tu iwe hivyo, tukomeshe ugaidi kwanza. Tufungue nnchi.