Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,691 Aug 24, 2014 #21 Kontelo said: Mkuu sorry. Nilijikuta nishakumention kwa jinsia ya ke uyo jamaa ndo amenikumbusha km ww ni ke au me? Pole sana mkuu Click to expand... Haina mbaya mkuu maana haibadilishi uhalisia wowote...peace!!!
Kontelo said: Mkuu sorry. Nilijikuta nishakumention kwa jinsia ya ke uyo jamaa ndo amenikumbusha km ww ni ke au me? Pole sana mkuu Click to expand... Haina mbaya mkuu maana haibadilishi uhalisia wowote...peace!!!
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,298 Reaction score 4,864 Aug 24, 2014 #22 ONTARIO said: Hivi watu8 ni ke...?? Just curious... Click to expand... hata mi nimeshangaa
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,230 Reaction score 46,633 Aug 24, 2014 #23 Relativity said: Hivi bongo kuna nano sim,na kama hamna nitafanyaje kama nina simu inayohitaji nano sim? Click to expand... Nimecheka sana kwa ulichouliza mbona mitaani magomeni kwa wauza vocha wanakata kwa shilingi 100 tu.
Relativity said: Hivi bongo kuna nano sim,na kama hamna nitafanyaje kama nina simu inayohitaji nano sim? Click to expand... Nimecheka sana kwa ulichouliza mbona mitaani magomeni kwa wauza vocha wanakata kwa shilingi 100 tu.