Hivi Tanzania hatuna sheria ya Plagiarism?

Hivi Tanzania hatuna sheria ya Plagiarism?

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Mara nyingi utaona watu wanachukua content za watu wengine bila kutoa credit.
Wanachukua picha za vijana waliotaabika kushoot na kuedit na kuziweka kwenye page zao kubwa za mitandao bila kutoa credit.
Sasa hivi hata page za waandishi wa habari wanachukuliana kazi bila credits.
Tazama mfano hii habari imenakiliwa neno kwa neno. Inawezekana vipi watu tofauti wakaandika habari inayofanana kila kitu?
IMG_4105.jpg

IMG_4104.jpg
 
View attachment 2189205
View attachment 2189206
Ni ngumu Sana kufanya kazi na mtu alishazoea kuchunga ng'ombe
 
Siku hizi Tanzania waandishi wengi wa habari, wachambuzi etc. wamekuwa ni watu wa mchongo
 
kila nchi/chuo kinanamna minavyodhibiti utanganyifu kwenye academic writings.

Kwahiyo naweza kucopy gazeti zima la Mwananchi nikachaposha kwenye gazeti langu bila kuchukuliwa hatua?
 
Plagiarims ni kwaajili ya academics. Uku kwengine kote ni oya oya.
Una uhakika na unachosema ? Unaelewa ethics za Journalism ?
IMG_20220416_093656.jpg

Una uhakika na unachosema ? Unaelewa ethics za Journalism ?
View attachment 2189266
upo sawa. Nimeelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom