Hivi Tanzania haina CRITICAL THINKERS?

Kama TANESCO inauzwa kwa Symbion tunataka yatokee yale mambo ya NETGROUP solutions.
 
Wanaokuponda "Critical Mind" labda ndio wanaohusika na uvivu wa kufikiri au kutokufanya majukumu yao.. Hao hao critical minds tulio nao, kweli hawawezi...:- -kufikiri kwamba mitaro barabarani tuliyonayo, ni hatari kwa watembea miguu, baiskeli na vyombo vya moto? -kufikiri kuwa hili jua kali kweli tunashindwa kulitumia na kusambaza kwenye taa za kuongoza magari barabarani na badala ya kutegemea umeme? -pia kukuna kichwa chao, na kulitumia tena jua kusambaza taa za barabarani kwa watembea miguu hasa kwenye sehemu zenye giza? -kufikiri kuwa imefika wakati magari mabovu yakataliwe kuingia barabarani na kuhakikisha kweli yanafanyiwa "test" ya aina fulani kila mwaka? -kufikiri kuwa silaha za moto hazina haja kumilikiwa na wananchi wake, hasa kama tuna vyombo vya dola vya kutulinda? -tatizo la maji lisiwe la kisiasa bali haki ya lazima kwa mwanachi? -kufikiria kuwa umefika wakati "civil servants" wawe kama wafanyakazi wa makampuni binafsi, hasa kwa mtindo wa kuchelewa ofisini, kutokua na "performance reviews" na muhimu kuliko yote, "customer servicves", hapo ndio balaa..! -kufikiria kuwa kuwe na vipimo vya ujazo wa abiria kwenye daladala, bodaboda na bajaj? -kufikiria kuwa tatizo la usafiri kwa watoto wa shule bado halijapatiwa ufumbuzi yakinifu? -kufikiria kuwa....................
 

Ha haa haa,dahq mkuu nimecheka sana
 
Lakini mleta uzi speaks only on the negative issues bila kuleta proposals za utatuzi anazoona yeye kwan.Hii TZ yetu sote
 
Najarabi kulinganisha ^^above pic na ile ya king Faisal hospital Rwanda iliyokuwepo kwenye jukwaa majuzi. No comment.
 
Kama TANESCO inauzwa kwa Symbion tunataka yatokee yale mambo ya NETGROUP solutions.

Zanzibar baada ya 'critical thinking' wameamua kuuza majenereta ya umeme(34mw) msaada wa wafadhili. On what grounds? Too expensive to run! Any back-up plans in the event undersea power cable fails? vibatari vipo. Okay.
 

-wewe na wenzio mlivyo busy kurukia thread na kuzifanyia mizaha bila hta kuchallenge core ideas.
-Andengenye kaua watu kapata promo.
-Novatusi karudha ujinga kapewa ukuu wa wilaya.

-Komba kaimba wimbo kapewa NEC na Ubunge..leo mitumbo km MALKIA WA MCHWA...

-Mbatia angekuwa CCM angepewa wizara ya ujenzi km si kuundiwa wizara ya majanga na uokoaji baada ya lile tukio ya kuporomoka jengo kariakoo.
 


[FONT=Geneva,Arial,sans-serif]Rubbish, pure unadulterated rubbish.

You don't get any better niggler. All we ever see from you is this half baked mystical twaddle. Why don't you actually stop and analyse the stuff you write before you post it?


[/FONT]
 
Zanzibar baada ya 'critical thinking' wameamua kuuza majenereta ya umeme(34mw) msaada wa wafadhili. On what grounds? Too expensive to run! Any back-up plans in the event undersea power cable fails? vibatari vipo. Okay.

Speaking of Zanzibar...they're now selling off the entire Stone Town without public consultation
 
Wewe pekee
 
Wewe kiukweli ni Mtanzania ahasante sana, keep that spirit Bro/Sis
 
Zanzibar baada ya 'critical thinking' wameamua kuuza majenereta ya umeme(34mw) msaada wa wafadhili. On what grounds? Too expensive to run! Any back-up plans in the event undersea power cable fails? vibatari vipo. Okay.

Umenifanya nicheke loudly! Ati wameuza hizo generator, with no back-up plan KWA KUWA wana vibatari in case undersea cable fails? Hiyo ni BONGE la ANALYSIS mkuu! Sikuiona hiyo! Very critical indeed! Duuuu!

Sasa kama vibatari navyo vikishindikana kwa kuwa hakuna mafuta ya kutosha sokoni, itakuwaje? Watarudi enzi zile za washa mshumaa, ambao nao HAUTAPATIKANA kwa wingi kwa kuwa unatokana na nta (labda?) itokanayo na petroleum products ambazo sasa ni adimu?

What about sea wave technology, kwa kuwa Zanzibar ni kisima na mawimbi makubwa baharini yako LUKUKI?

Au wanahitaji msaada niwaunganishe na wenye hiyo teknolojia?
 
Speaking of Zanzibar...they're now selling off the entire Stone Town without public consultation

nadhani doers wapo

tatizo ni quagmire lililo ndirima kupata kufanya hizo decisions

Tungekuwa na doers tayari ungeona mtu kafanya kitu cha kutuamsha kutoka this slumber.

Hata kama ni an ill conceived military coup.

Hata hao thinkers nao kuna utata.

Original post inasema critical thinkers hawafanyi hiki na kile, leaving one wondering, if they are critical thinkers, what qualifies them as critical thinkers?

It is quite possible that the criticism against critical thinkers is not critical itself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…