Hivi tanzania bila tanesco inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tanzania bila tanesco inawezekana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Twilumba, Dec 21, 2010.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  Wana FJ nachoshwa sana na hili shirika letu la kuzalisha nishati haba ya Umeme, vyanzo lukuki vya kuzalisha nishati ila ndo kila siku visingizi, hivi lini na kwa vipi huu ukiritimba utaisha.
  Nimechoshwa,
  Naomba kuwasilisha
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bila tanesco tutakaa giza jamani!
   
 3. JOANNA

  JOANNA Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Itawezekana kama tukipata shirika lingine yaani yawe hata mawili hivi kuwe na ushindani ndio itakuwa safi!Ushindani utawafanya wafikiri beyond ili kusolve changamoto!
   
Loading...