Hivi TANESCO nani kawaudhi huku Gongo la Mboto Ulongoni kwa Muhogo Mchungu?

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Ni eneo la Gongo la Mboto Ulongoni kwa Muhogo Mchungu. Yaani mmeweka umeme maeneo yote kuzungukana eneo hilo ila lenyewe mnaliruka. Ni pepo gani mnalikimbia pale?

Mbaya saa hizi mmeliruka na kuanza kufunga nyaya zenu mbele ili umeme utokee pande hizo, lengo wale wa kwa Mhogo mchungu waendelee kuusikia umeme redioni.

Hakika Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom