Hivi tabia hasa ya wanawake ni ipi?

Umenena vema sana mkuu. Najaribu kuwaza endapo dunia hii itaongozwa na kutawaliwa na wanawake sijui itakuwaje.
Hisia zako tu mbovu kwanini isitawalike sikuna taratibu,
 
Mi mwenyewe mwanamke kuna saa nafanyaga mambo hafu baadae najishangaa, lakini sio mambo ya kijinga, ni mambo ya kujaribu jaribu mambo kujua kiundani undani loh. Ishini na sisi kwa akili maana wanawake sisi hupenda kuwasoma udhaifu wenu
Una akili za ziada mkuu..
 
Una akili za ziada mkuu..
Hafu ukitaka upate mke mzuri inabidi mundane interest zenu na baadhi ya vitabia tabia hapo lazima mdumu, hata mkitofautiana mnakaa sawa tu, pia nyie wanaume saa nyingine hufanya wanawake wawe makatili, hawaambiliki kwa kuwafanyia mambo nakuona ni sawa tu kumbe wenzenu tunavihesabu tu. Ukijua saikology ya mpenzi wako utapata raha sana loh, ukiona mahusiano mizinguo imezidi ujue kiatu ulichovaa sio size yako. Tatizo linalowatesa wanaume wengi huwa ni kutafta wenzi wasioendana kitabia na interest lazima hapo mchokane
 
Tangu lini pambo likawa na maamuzi sawa na mpambaji?..
Wewe si kweli kuwa mwanaume hakukufanyi ujue kila kitu, ukiwa na hyo mentality utapata tabu, mtu yoyote ni wa muhimu, na anaweza leta mabadiliko chanya.
 
Una mawazo mazuri.
 
Sasa unataka kujifanananisha na mwanamke???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…