Tabia ya mwanamke ni wewe mwanaume utakavyo mlea
BTW pole kwa kutendwa
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]We tupe hela tu, hayo mengine huwezi yaelewa.
Hapo sasa!!!toa helaaaaEeewalaaa!! Haswa akiwa anatoa sana pesa.
Mimi kama mwanamke, umenitoa kwetu Lushoto ukanileta Dar.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umetisha sana mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] bahati mbaya pesa haijawahi kuwa na ukomo "kadri unavyopanua ndivyo watu wanavyotamani"!
Hapo sasa!!!toa helaaaa
Kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena watoe kweli walivyonavyo maana Bwana anawaona hadi mioyoni.
Hilo linaweza kuwa "pepo"! Unahitaji maombi.
Huko kukuacha kwenyewe shughuli yake siyo ya kitoto.! [emoji53][emoji53]Mimi kama mwanamke, umenitoa kwetu Lushoto ukanileta Dar.
Kwahiyo ni jukumu lako kunilisha, kunivesha, kunihudumia, kunipa unyumba (ukizubaa nakucheat), kunipeleka saloon.
Ukiona umeshindwa, ruksa kuniacha