Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

Sema lile zimwi (la kijani) nimewamaliza. Miezi mitatu unatangaza live bure, unakosa matangazo ya biashara kwa kuendekeza ushabiki wa siasa mwisho unatoswa na kila mtu. Tujifunze kuwa kuna vitu vingine kujihusisha navyo ni kubeba laana tuu
professional ethics was missing....
 
Hata Mali za sahara media alizipata kwa kumdhulumu mzungu mmoja hivi na akatengeneza dili huyo mzungu akatangazwa person non grata(mtu anayetakiwa kufukuzwa haraka Tanzania)

Halafu asili ya wasukuma kuzurura na mifugo maporini,wataweza wapi mambo ya kisasa?
 
Cha kustaajabu na sisi kama wateja ili kuipata hio star tv channel tunailipia hatuoni bure
Sasa kitu gani kiwafanye hadikukimbikiza deni au kutolipa deni wakati ni haki yao TRA?

Sent from Calculator Phone vesion007
Inaelekea ni deni liloanza enzi za kikwete, lkn pia limeongezeka awamu hii, bila shaka walikosa matangazo ambayo ni chanzo kikuu cha mapato kwa tv nyingi. Awamu hii ni janga kwa biashara nyingi
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
Dira ya Dunia inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007

naomba kisifanye tena kazi
 
doomsday,,,ila ako na mitambo super sana,,wish had cash to re brand it
Nation media ya kenya wanaomiliki televisheni ya citizen nadhani na magazeti ya mwananchi hapa Tanzania(wote wako chini ya Agha Khan Foundation)walitaka kuinunua,akaringa,lazima akae nao chini ili angalau auze kwa faida
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimekupa like yangu lakini dah nakuunga mkono sana huyu diallo aliniudhi sana mda ule mpaka niliapa kusikiliza BBC tu through RFA mda mwingine sitaki kuisikia.
Sasa asante baba Mungu kwa kutuonyesha nguvu zako dhidi ya hawa mabepali maudhi pia uchwara wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
alinisababisha mpaka leo naangalia citicen tv,sino drama,na chanell za kinaigeria za tz naangalia only tamthilia za ki na ina morata
 
Back
Top Bottom