toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,107
- Thread starter
- #41
Mkuu labda unatumia dish au king'amuzi cha sumbawanga
Sent from Calculator Phone vesion007
Mkuu labda unatumia dish au king'amuzi cha sumbawanga
professional ethics was missing....Sema lile zimwi (la kijani) nimewamaliza. Miezi mitatu unatangaza live bure, unakosa matangazo ya biashara kwa kuendekeza ushabiki wa siasa mwisho unatoswa na kila mtu. Tujifunze kuwa kuna vitu vingine kujihusisha navyo ni kubeba laana tuu
mkapa hakukosea,,,im sory to say so...
Pia hata kiutawala star TV hovyo kabisa,amejaza wadogo zake,wajukuu wa bibi,kazi kuongoza wafanyakazi na watangazajiprofessional ethics was missing....
hivi hii ni ile ya madaam bonevista na angelo,,that things kills me,,it made me fall in love with philipens
doomsday,,,ila ako na mitambo super sana,,wish had cash to re brand itPia hata kiutawala star TV hovyo kabisa,amejaza wadogo zake,wajukuu wa bibi,kazi kuongoza wafanyakazi na watangazaji
Mkuu Maelezo haya huwa yanatolewa na JPM, mimi nimeyarudia tuWee jamaa kuna mida dishi lako (kichwa chako) huwa linakata signal vizuri (kuna mida huwa una akili)!
Mkuu umeteleza, hapa ni mahali sahihi pa kupata taarifa zote, hata Diallo mwenyewe husoma na kuchangia bila kumjuaHaya maswali mengine ni kuwaonea wasomaji wa thread. Ukitaka kujua hilo fanya effort umuulize dialo in personal halafu uje utupe mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea ni deni liloanza enzi za kikwete, lkn pia limeongezeka awamu hii, bila shaka walikosa matangazo ambayo ni chanzo kikuu cha mapato kwa tv nyingi. Awamu hii ni janga kwa biashara nyingiCha kustaajabu na sisi kama wateja ili kuipata hio star tv channel tunailipia hatuoni bure
Sasa kitu gani kiwafanye hadikukimbikiza deni au kutolipa deni wakati ni haki yao TRA?
Sent from Calculator Phone vesion007
Dira ya Dunia inaendeleaTangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv
Sent from Calculator Phone vesion007
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv
Sent from Calculator Phone vesion007
Nation media ya kenya wanaomiliki televisheni ya citizen nadhani na magazeti ya mwananchi hapa Tanzania(wote wako chini ya Agha Khan Foundation)walitaka kuinunua,akaringa,lazima akae nao chini ili angalau auze kwa faidadoomsday,,,ila ako na mitambo super sana,,wish had cash to re brand it
alinisababisha mpaka leo naangalia citicen tv,sino drama,na chanell za kinaigeria za tz naangalia only tamthilia za ki na ina morataNimekupa like yangu lakini dah nakuunga mkono sana huyu diallo aliniudhi sana mda ule mpaka niliapa kusikiliza BBC tu through RFA mda mwingine sitaki kuisikia.
Sasa asante baba Mungu kwa kutuonyesha nguvu zako dhidi ya hawa mabepali maudhi pia uchwara wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app