Abdalla Khamis
Member
- Jun 13, 2011
- 59
- 8
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi
ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.
Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?
wazulu wanapigana vita? Duh..very low accusations
hilo nalo neno,Slaa,Slaa kwa nini CCM unamuogopa huyu mtu ?
hebu waambie coz naona huyu ka2mwa na chichiemuMungu ana watu wengi na anatupenda woote!
basi ungesema DR anaundugu na watu wa uarabuni,
Si wajinga ninyi mlimuita mhaini?
wahi kwenye mkutano wa nape njaa itakumaliza
Slaa,Slaa kwa nini CCM unamuogopa huyu mtu ?
uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi
ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.
Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?[/QUOTE
]
Acha Woga. 2015 bado mbali. Woga na Propaganda za nini?
Wewe kilaza tofautisha kati ya amani na UZUZU. mwite chochote Rais wangu.uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi
ukimchunguza vizuri slaa utaona kuwa, ni mtu anayeshabiana na tabia za kizulu za kupenda vita,shari na uchochezi.evi slaa,wa arusha wamekukosea nini? Mbona unawasababishia majanga? Kumbuka wewe ndie uliyesababisha mauaji ya watu wale watatu na 30 kujeruhiwa vibaya.jua kuwa,jamii inakulaani wewe kwa kusababisha mauaji yale kwani ungelitii amri ya jeshi la usalama, maafa yale yasingelitokea.
Kaka slaa,jua kuwa watu wa arusha ni watu kama wengine ambao wanahitaji kufurahia amani hii iliyopo.kwanini maumivu yamaafa yale hayajaisha halafu unataka kuwaletea mengine? Sisi wenye tanzania yetu hatupendi shari,uchochezi wala vita ukiyataka hayo nenda huko kwa wazulu ambao sasa wametulia maana wamejua umuhimu wa amani.usitumie hiyo convircing power ulinatyo kuwaangamiza watu waso na hatia.huku ukidai unawaonea huruma,kitu ambacho hakiingii akili hata kidogo,utawaoneaje huruma huku ukiwaangamiza kwa kuwatengeneza kuwa tayari kuangamia?
Kweli Mary, huyu si tu ana njaa, bali ana utindio wa ubongo pia.wahi kwenye mkutano wa nape njaa itakumaliza
n NAPE PEOPLE IN ACTION. YOU WILL NEVER MAKE IT. HIKI NI KIZAZI KIPYA CHA WATZ. SOON YOU WILL REALIZE IT.uasili wa slaa unapaswa kuchunguzwa maana binafsi ananichanganya kumjua kuwa,yeye ni mtanzania halisi au ana asili ya uzulu. Bila shaka si kwaida kumshuhudia mtanzania halisi kuwa natabia ya kupenda shari,uchochezi na vita,lakini huwezi kuwatenganisha wazulu na sifa hizi