HIVI sio CHILD ABUSE?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC CCM Nape Nnauye na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mwigulu Nchemba wakirejea jukwaani mara baada ya kuwatunza watoto hao Nyambuli na Gozbert wakati wakicheza ngoma katika maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwenye uwanja wa Uhuru.



Mtoto Gozbert Bwere (3) akionyesha uwezo wake katika kupiga ngoma huku akiwa amelala chini katika maadhimisho hayo.



Mtoto Gozbert Bwere (3) akifanya vitu vyake katika kupiga ngoma katika maadhimisho hayo.
 
Kweli CCM inavyofanya HIVI sio CHILD ABUSE??? Wanaletwa toka MUSOMA bila Wazazi WAO; Kuwafurahisha HAO WALAFI wa CCM?
 
Nape na Mwigulu ni wapenda sifa sana siku zote watataka kuuza sura tu, wanaiga mtindo wa bosi wao Mkwele.
 
Back
Top Bottom