Mbalizi feedstuff
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 188
- 200
Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je wachina wanaozitengeneza hizi parts wanatumia bits kutoka mbinguni?
Mfano wa spare parts hizo
Mfano wa spare parts hizo