kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Nasema hivi kwa sababu wasafirishaji abiria wanatoza tu nauli watakayo mf ni nauli kutoka Kahama hadi Shinyanga nauli ni sh.4000 lakini imekuwa kawaidavkutoza 6000!Dodoma utawaona vijana wa sumatra wako stand wanawabana sana wenye mabasi,Sasa najiuliza,hivi hapa Shinyanga hakuna Sumatra?Kusema kweli kama yupo
anastahili kutumbuliwa maana wenye mabasi wana kibri,sana!Hakuna anayefutila,najiuliza wapo kweli shy?
anastahili kutumbuliwa maana wenye mabasi wana kibri,sana!Hakuna anayefutila,najiuliza wapo kweli shy?