Hivi shetani aliwafanya nini wanawake?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Yaani mtu unafanya mambo yako kipuuzi huko unapachikwa mimba ukijakuulizwa nyumbani unaulizwa eti shetani amenipitia
Inauma sana..
 
Tena wanaugulia kweli kwenye sita kwa sita kikikatia wanamsingizia shetani...[emoji28] [emoji28] [emoji28] ama kweli kua uyaone
 
Tena wanaugulia kweli kwenye sita kwa sita kikikatia wanamsingizia shetani...[emoji28] [emoji28] [emoji28] ama kweli kua uyaone
Yaani laiti angekuwa anaongea huyo shetani sidhani kama angepakaziwa hivyo
 
Nyege na raha walizopewa lazima shetani ahusishwe laazima.
 
Yupo lakini anapakaziwa mambo mengi sana hivi ingekuwa hayupo mngekuwa mnampakazia nani
Mbona nyie mkicheat mnamsingizia shetani. Pole mkuu..walaumu wanaume wenzako kwa kumuharibu, ndo mlivyo!
Maskini keshakuwa single maza tayari..sad.
 
Bahati nzuri hata aliepeana mimba atamsingizia huyo shetani.

Kwa hiyo wetu sote huyo.

Tuungane tu tumkatae😛😛
 
Mbona nyie mkicheat mnamsingizia shetani. Pole mkuu..walaumu wanaume wenzako kwa kumuharibu, ndo mlivyo!
Maskini keshakuwa single maza tayari..sad.
Sijawahi kusikia mwanaume anasema eti shetani kampitia labda mimi ushamba wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…