Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Huwa nasikia kinyaa sana kusikiwa misemo haswa ktk tasnia ya Afya na ICT. Daktari akiachagua pa kujishikiza basi atapewa NENO BINGWA KM PREFIX yake. UTASIKIA DAKTARI Bingwa wa Macho, na mengineyo.
Hizi kuchagua Kuwa mcheza mpira ktk goli au kuwa goliki kunaweza kufanya kuwa Kipa Bingwa? Au kuwa referee kunakufanya kuwa referee bingwa?
Hivi hakuna watu wenye akili timamu kweli ktk hii nchi ili kidogo waanze waambia hawa waandishi wetu wasikuwa na muda wa kujifunza vitu kabla ya kuwa na haraka kuvitoa midomoni au kuviandika ktk machapisho ya kudumu.
Hii mizaha na mambo mengine ya watu wasioona haja ya kusema vitu sahihi zaidi ya kutafuta sifa na mbwembwe ktk issue ni hatari sana. Wananchi vijijini tayari wanatibiwa na wahuni wengine wakiwa manesi, wengine mabwana mifugo ambao nao wanaitwa madakatari, kuna watu wamehudhuria kozi fulani ktk fani walizozichagua tayari wanajiita mabingwa mitaani na kupata ACCESS ZOTE KTK UHAI NA IMANI YA MWANANCHI DUNI ASIYE NA KUPATA AU KUCHEKI TAARIFA SAHIHI.
Kuna misemo fulani fulani inayofanya taif akujidanganya huwa ni kipimo cha ukomavu wa taifa. Kuna shida nyingi. KM UKISIKIA UZINDUZI WA MIFUMO YA ICT KTK MEDIA UNAWEZA OGOPA. UTAAMBIWA SIJUI IDARA GANI IMEZINDUA MFUMO WA KISASA WA KUWEKA KUMBUKUMBU KWA NJIA YA COMPUTER. Tafrija na waandishi kibao km kasuku wanapayuka. Kumbe ni file la excel na data zinazowekwa huko ni uchafu mtupu.Km hujaona hasara ya hizi mbwembwe basi utakuwa na ganzi.