Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,648
- 7,565
Mapenzi hayachagui iwe sokoni,msibani,kanisani,msikitini, jamvini unaweza mpata umpendae kwani hajui kuwa Marry Diana kaolewa kupitia Jf??Karne hii kuna watu bado wanasumbuka na wanawake? Mademu shazi mtaani tena vitu tight sio used 😂
Nilisahau loh! Basi tuache kwanza🫣BIG tulia kwanza basi usimwage upupu mapema subiri kuchangamke kwanza
Unachelewa upate mchumba jf hii? Endelea kusubiria makombo mkuuMapenzi hayachagui iwe sokoni,msibani,kanisani,msikitini, jamvini unaweza mpata umpendae kwani hajui kuwa Marry Diana kaolewa kupitia Jf??
Seran ni pisi, kuna siku nilimbahatisha kwenye uzi wa selfika hauchoki kumwangaliaSeran mwenyewe amewahi kuonyesha sura yake humu, au ni kujipa kazi isiyo eleweka
Kweli wewe mzee wangu ni wa kuniwazia huu upumbavu unaoendelea humu? Hapana bwana..Wakuu,
Hata kama ulikuwa na plan za kumtaka huyu binti, it's over now...humpati tena, graph yake inapanda!! Unless awe ni mwanamke asiyependa makuu!
Tumia hata ndumba mkuu kama ulimuelewa 😂Seran ni pisi, kuna siku nilimbahatisha kwenye uzi wa selfika hauchoki kumwangalia
Nyota inang'aa, naipalilia izidi kung'aa ili wenye misuli waweze kujimilikisha, nasema wenye misuli😅Kweli wewe mzee wangu ni wa kuniwazia huu upumbavu unaoendelea humu? Hapana bwana..View attachment 3604663
Kwani kimetokea nini tena huko au BIG kashafanya yake huko na mimi nikatajwa kwamba nilikuwepo?Halafu kaka wewe ndo VRBOSE au tusubiri mwingine
FaizaFoxy ana msemo wake, anasema...Kwa hivi vitoto vya humu hata sitaweza mamaake! Sikuwepo namsikia tu aisee! Huko kitaani bwana mmoja waawake 7 kwanini wasihangaike huko!
Hebu tulia kwanza, usizue taharuk!Seran ni pisi, kuna siku nilimbahatisha kwenye uzi wa selfika hauchoki kumwangalia
Ndiyo watapata mathalani Jamiiforum siyo kisiwa ambapo watu wake hatuishi nao mtaani. Kuna mtu atakuja kutoa ushuhuda baada ya kupata mkeUnachelewa upate mchumba jf hii? Endelea kusubiria makombo mkuu
Seran upo fireHebu tulia kwanza, usizue taharuk! View attachment 3604666
Hahaha BIG tulia basi kwanza naona km umewakaKwa hivi vitoto vya humu hata sitaweza mamaake! Sikuwepo namsikia tu aisee! Huko kitaani bwana mmoja waawake 7 kwanini wasihangaike huko!
Hizi si ndio kazi zako dogo😅😅unajua we ni mdogo wetu wa mwisho, lazima pasi ndefu zije kwako!!Aisee
Ulipiga screen shot?Seran ni pisi, kuna siku nilimbahatisha kwenye uzi wa selfika hauchoki kumwangalia
Ndoa zipi hizo qmmmk kama ni za wale mayaya hata siwazi wantolee kvma kavu!
Sasa mm n mnyonge Siwez competition, hata nimpende mwanamke kiasi gn, nikishaona anafatiliwa Sana Hua naachana nae.Hizi si ndio kazi zako dogo😅😅unajua we ni mdogo wetu wa mwisho, lazima pasi ndefu zije kwako!!