Hivi road licence kwenye budget hii imefutwa?

Hivi road licence kwenye budget hii imefutwa?

Joined
May 8, 2012
Posts
11
Reaction score
2
Habari ya asubuhi wadau,

Hivi ni kweli road licence mwaka wa fedha ujao 2014/2015 hatutalipia tena?

Naomba clarification mwenye kujua.
 
Wataifutaje na wakati ni moja kati ya vyanzo vikuu vya mapato vya nchi...hahahahahahah Road licence na gharama za bia na sigara haziwezi kupunguzwa
 
Load Licence ni wizi wa serikali kwa watu wake. Kama ninalipa Load toll sasa load licence ya nini tena? viongozi wetu wameshindwa ubunifu sasa gari na pombe ndo wameona ni njia pekee ya kuficha uzembe wao. Gari langu liko uani ni bovu mwaka wa tatu nimetengeneza na kurudisha barabarani wao wanataka faini ya miaka ya nyuma. WIZI MTUPU
 
Kwani ule ulaji ama inabidi wasaidie wapigakura mna asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini na hawana hela hapo ukijumlisha PAYE si matatizo wakati wafanyabiashara wanapeta
 
Load Licence ni wizi wa serikali kwa watu wake. Kama ninalipa Load toll sasa load licence ya nini tena? viongozi wetu wameshindwa ubunifu sasa gari na pombe ndo wameona ni njia pekee ya kuficha uzembe wao. Gari langu liko uani ni bovu mwaka wa tatu nimetengeneza na kurudisha barabarani wao wanataka faini ya miaka ya nyuma. WIZI MTUPU

Kule Ulaya hata bima ni suala la Hiali hawalazimishi mtu kuweka Bima kwenye Gari huwa wanasema bima ni jukumu lako Binafsi ukitaka kuliwekea bima gari yako sawa au Kama hautaki sawa Pia .
 
Back
Top Bottom