Hivi RC Chalamila anatafuta nini?

Kiongozi wa dini sio kiongozi wa kisiasa. Chalamila yupo sahihi.
 
Kiongozi wa dini sio kiongozi wa kisiasa. Chalamila yupo sahihi.
Siasa ni maisha na maisha ni siasa.Soma Mwanzo 1:29-30.Pia kumbuka kuwa sisi Wakristo mpaka tufike hapa Karne hii tumepambana Kisiasa,Kiuchumi,Kielimu,Kiutamaduni,Kijamii na ndiyo maana tunaitwa Wakristo.Bila Siasa tusingekuwa Wakristo.
 
Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…