Hivi RC Chalamila anatafuta nini?

Kuna picha ali-post mwashambwa siku Samia anaagwa kuelekea Comoro, huyu ndiye alikuwa mbele miongoni mwa viongozi kwenye Ile picha.

Labda kishajiona ndiye namba mbili.

Btw, kesha pokelewa toka Comoro?
Hata mimi nasubiri asee 😊😊😊
Mbuzi yupo bandani nasubiri msechu atoe dundo
 
Yuko sahihi kabisa

Ulitaka asemeje?

Maana sasa hata askofu kibaibo mwamakula atadai ni mkuu anchi

Tulishafundishwa kutenga ya Kaizari

Msilazimishe mambo
Nani ambaye hakulijua hilo hadi lisemwe na Chalamila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…