Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Tukipata mtu mchapakazi, anayeziangilia kodi zetu zinatumiwa vizuri tunaanza kulalamika.

Tunahitaji watu kama huyu waangilie pesa zetu kodi zetu zinatumika ipasavyo. Wawe wakali kwelikweli.

Mimi naona anafaaa kuwa waziri hata wa kilimo au viwanda.
 
Nimeona hiyo jifanye unajikuna nimechekaaa balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amekuwa kituko sasa,magu naomba amtumbue tu tupumzike na FUTUHI zake.
 
Ccm wote wasanii wa dar kazidi ndiyo maana miaka karibu 60 sasa hakuna maendeleo
 
Wewe nawe! Mtu hata akijinyea mradi katoka ccm utasema hiyo ni bekari ya kufyatua keki! Kwako ni kusifu tuu
mtu ana stroke ya akili unang'ang'ana naye wanini?
 
Mi napenda kile kipande cha ntoronto[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…