Hivi rais wa malawi ameshapatikana?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,067
Mwishoni mwa mwaka jana nilisikia huyu rais amepotea ghafla nilidhani ji uzushi kumbe ni kweli!
Serikali ya malawi imetangaza kurudi kwake au bado?

Kama karudi alikua wapi? na kwanini asiage? Maafisa wake na wanausalama wake wanasemaje kuhusu hili jambo?
 
Njoi huko jembe ni jembe beach anajirusha na watoto wa jiji la miamba hana habari kwake
 
Njoi huko jembe ni jembe beach anajirusha na watoto wa jiji la miamba hana habari kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…