Tuna matatizo makubwa katika kutumia elimu na ujuzi tulionao. Hii imetokana na kuwa na fikra za kuazima au tegemezi.Siyo umeme tu hata maji ni shida maeneo mengi yaliyopitiwa na mradi wa maji wa ziwa Victoria.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sababu zipo za kutosha. 🤣🤣Mbona Hadi masika mgao ulikuepo?
Kweni hii migao ilianza lini?Kwan hujawasikia wanakuambiasababu ni mvua kuchelewa kunyesha kwa wakati
Kwani naye ni mwananchi ?Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
🤣🤣 unataka tufuate maoni ya mwaka 1961 leo 2023?Hebu ona tako lingine hili i amaana tangu mwaka 1961 hadi leo unajifanya hujui ni maoni gani hutolewa ili kutatua tatizo la umeme tanganyika?
Sawa maoni yako yatafanyiwa kazi na TANESCOSerikali iondoe kodi kwenye solar panels na iruzuku bidhaa zote za umeme wa solar.
Halafu kipindi kuna mgao watu watumie na wachangie kwenye gridi
Sasa haujatoa ushauri unataka serikali ipokee nini?Hebu tuambie ushauri gani imewahi pokea na kuufanyia kazi?
Mlisema shida ni January tulieni dozi iwaingie 😁😁Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
UkameKwenye Mafuta walisingizia Dollar sijui kwenye umeme watasingizia nini?
Kamdanganye mkeo,chini ya huyo JPM kwanza mtoa mada asingethubutu kuandika hii madaHuku kwetu nyanda za juu kusini umekatika sasa hivi, yaani kwa kweli JPM alikuwa mwamba, kipindupindu kilikishwa chini ya utawala wake, umeme haukiwahi kuwa tatizo, ujambazi ulitoweka daaah!
Installed capacity ni megawatt kama 1600 hiviWaseme, nchi nzima ina
- Installed capacity ngapi?
- Active ni ngapi?
- Max demand ni ngapi? (Hapa wasitumie takwimu za uzalishaji wao ila uingizwaji wa generators kubwa zote kuanzia 625kVA)
Maji mpaka leo?
Tangu waliouza gesi kwa dharula pale mjengoni, mpaka sasa imepita miaka mingapi?
- Kujenga kituo kimoja cha kuzalisha umeme wa 300MW inachukua muda gani?
- Tumeshindwa kupata plant ya hata 1.2GW inayokuwa powered kwa gas? Jenga huko Mtwara li-plant likubwa, pinga Grid, ring cct, boresha distribution network, tuachie walalahoi tuserebuke nao
Wivu tuJamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Hapana ni upungufu jaribu kuwaza 🤔Lakini si huo mgao unaletwa na huo upungufu?View attachment 2753817
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Toa pendekezo serikali ifanye nini kuongeza uzalishaji usikae kama furushi la viazi kulalamika kama mtoto wa kambo.