TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Vyeti Feki Maana yake ni Udanganyifu, Ni Impersonation ni Identity theft na Simply ni Crime, Kwa hiyo consequences za Uhalifu ziko tu kwa Wananchi na Wapinzani na sio Magufuli na Viongozi wa CCM?
Pia wakati akiweka Jiwe la Msingi Ubungo, Magufuli alidai ati hapangiwi nani wa Kumteua, Nimefuatilia The hell Rais hawezi Kumteua Jambazi au Mtu aliyefanya Jinai Kushika nafasi ya Serikali. Makonda ni Jambazi na Magufuli Kumtetea Kunanifanya niamini ama anatetea Ujambazi wa Makonda ama Alimtuma Makonda Kufanya Ujambazi au na Yeye ni Jambazi. Jf acheni Woga, Msifute uzi huu, Jina Langu liko wazi, Ushahidi wa Makonda/bashite Kuwa Jambazi upo Ushahidi wa Magufuli Kutetea Makonda baada ya !ushikwa Ready handed akifanya Ujambazi Upo. Inakera sana ati Kufukuza watanzia zaidi ya 9000 na Kuwaacha wakuu wa Mikoa, Wabunge na wengineo walio na Vyeti feki. Serikali Ovu na Ovyo, Ovyo sana ya Magufuli, Kuna waliochini na waliojuu ya Sheria!
Ni Kioja hii awamu ya Tano ni Msiba ni Masikotiko, Nadhani Mungu ameruhusu waaribikiwe akili kwa Malengo mema hii sio bure!