Hivi Rais Magufuli alitudanganya aliposema kuwa yeye hajafadhiliwa na mfanyibiashara yeyote katika kampeni zake?

Hawakumpa pesa Magufuli.

Wana CCM wote wana mchango wa aina moja au nyingine kukichangia chama chao wakati wa kampeni na hata usio wa kampeni.

Kama uonavyo wengine tunavyotoa michango yetu humu kuwagaragaza hoja zenu maji taka.
Hoja gani wewe usinchekeshe bhana!🤣 wewe una hoja ama ni mshabiki tu? Yani hiyo mipasho yako ya kifala ndo unaita hoja?
 
Akatoa "challenge" kwa mfanyibiashara yeyote ambaye amaamini kuwa alimfadhili, ajitokeze hadharani......
Wale walioenda binafsi kumfadhili waligonga mwamba kama Mengi vile ,ila walioenda kwenye chama walichangia
 
Kunotofauti kati ya kumdhamini JPM na kuidhamini CCM...
 
Hayo ya Membe sijui nani yananihusu nini mimi!!!

Kama anataka si anajua nini cha kufanya kwenye Chama chake kuwania..

Ujue hayo ya Membe nayapita kwasababu najua mnatafuta kujibishana au kukuna watu.. kwangu pwaaaaa.. sikuniki..

Magufuli oyeeeee
Member anasema coco anakutakia usingizi mwema ,kumbuka 2020 kazi afu jioni bataaa
 
Tumemsikia kwa masikio yetu wenyewe, Rais Magufuli katika hotuba yake majuzi, alipokuwa akiwahutubia mawaziri, wakuu wa mikoa, maRAS na TRA, akiwaeleza kuwa hata wafanyibiashara wanaokifadhili chama chake cha CCM ni lazima walipe kodi

Katika hotuba yake hiyo alieleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wake, kuwasamehe kodi baadhi ya wafanyibiashara, kwa kisingizio kuwa ni wafadhili wa CCM

Aliendelea kusema kuwa ulipaji kodi hauna itikadi za Chama. Kwa hiyo ni kitu cha lazima kwa mfanyibiashara, whether uwe ni mfadhili wa CCM, Chadema au CUF ni lazima ulipe kodi, kwa kuwa kama wewe ni mzalendo, kodi ni muhimu kulipwa na wafanyibiashara wote bila kujali anakifadhili chama kipi

Maneno hayo ni tofauti na aliyoyatoa mwaka Jana wakati akiwahutubia wafanyibiashara, katika kikao kilichofanyika pale Serena Hotel, ambapo alidai yeye hajafadhiliwa na mfanyibiashara yeyote katika kampeni zake za kuingia Ikulu!

Akatoa "challenge" kwa mfanyibiashara yeyote ambaye amaamini kuwa alimfadhili, ajitokeze hadharani......

Naamini ingawa hajajitokeza mfanyibiashara yeyote na kudai kuwa alitoa msaada wake kwa kampeni zake Rais za kuelekea Ikulu, kutokana na woga na hofu ya "kumpinga" Mheshimiwa Rais hadharani........

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa wapo wafanyibiashara wakubwa na wadogo walioshiriki kikamilifu kumuingiza Magufuli Ikulu.

Ukweli umejidhihirisha, pale Rais Magufuli alipokiri kwa kinywa chake mwenyewe, kuwa wapo wafanyibiashara wanaokwepa kulipa kodi, kwa kisingizio kuwa wao ni wafadhili wa Chama tawala cha CCM!
Ila si kuna tofauti kati ya kumfadhili kuingia madaraka ni na kukifadhili Chama?
 
Waislam wengi wakizidiwa hoja hujawa na matusi

Unachekesha sana umegeuka kihoja huna hoja

Waislamu Mtu akiwagusa tu kuwa mtume hakukua kusoma wala kuandika hivyo akina aboubakary pale mecca walimsaidia kuandika Quran lazima more povu

Pole sana ustadhat Mara nyingi mnapenda yaandikwe yanayowafurahisha na kuwatekenya
We nae bonge la pumbavu. Sasa hapo uislamu unahusisha vipi.shenzy kibiriti
 
Kwa uelewa wangu, kipindi kile nyuma ya 2015, wagombea walikuwa na utaratibu wa kuwa na wafanyabiashara au watu binafsi kuwachangia individually Mf Lowasa. Wafadhiri hawa hawakuichangia CCM bali wagombea binafsi. So, Magufuli natumai alimaanisha kuwa hakuwa na individual wafanyabiashara waliompatia pesa za kuingia Ikulu. CCM kama vyama vingine, nao wana wafadhiri. Tutofautishe hapo, kauli ya rais na ya chama.

Mtoa hoja uwe muelewa kdg!
 
Waislam wengi wakizidiwa hoja hujawa na matusi

Unachekesha sana umegeuka kihoja huna hoja

Waislamu Mtu akiwagusa tu kuwa mtume hakukua kusoma wala kuandika hivyo akina aboubakary pale mecca walimsaidia kuandika Quran lazima more povu

Pole sana ustadhat Mara nyingi mnapenda yaandikwe yanayowafurahisha na kuwatekenya
Hii hoja ya uislam inatoka wapi kwenye hii mada.
Wewe ni mchafuzi wa mijadala na mchochezi wa chuki za kidini.
Jirekebishe
 
Sasa mbona utumbo wako wa habari unaelezea CCM na kichwa cha habari Magufuli.

Lini Magufuli alisema CCM haina wafadhili?

Kuwa mfadhili wa CCM na kuwa mfadhili wa mgombea urais wa CCM ni vitu tofauti kabisa.

Wafadhili CCM wapo.

Magufuli ali challenge atokee mmoja aseme kamfadhili yeye.

Hivi mmekosa sera?
Toka Membe aibuke na nyinyi ndo mnajitokeza sasa.. Ha ha ha haaaa... Shikamoo mama.
 
Toka uchaguzi wa 1995 hakuna mgombea yeyote wa ccm ambaye hakuwahi wafadhiliwa na wafanyabiashara, hakuna na waache kutufanya sisi kama mazezeta na hata chaguzi zijazo "Trend" itakuwa ni hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom