Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 Jan 5, 2016 #1 ninini hasa effects zake kitandani.
Madame S JF-Expert Member Mar 4, 2015 17,172 34,362 Jan 5, 2016 #2 Hii itawahusu zaidi wanywaji na waonjaji wengine hatujui hata ladha yake mdomoni
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 Jan 5, 2016 Thread starter #4 Madame S said: Hii itawahusu zaidi wanywaji na waonjaji wengine hatujui hata ladha yake mdomoni Click to expand... tena wadada wasiokunywa ndiyo wanafaa kutoa maoni. ulimuonaje jamaa yako alipokuwa sober na alipokuwa tungi?
Madame S said: Hii itawahusu zaidi wanywaji na waonjaji wengine hatujui hata ladha yake mdomoni Click to expand... tena wadada wasiokunywa ndiyo wanafaa kutoa maoni. ulimuonaje jamaa yako alipokuwa sober na alipokuwa tungi?
Madame S JF-Expert Member Mar 4, 2015 17,172 34,362 Jan 5, 2016 #5 Red Giant said: tena wadada wasiokunywa ndiyo wanafaa kutoa maoni. ulimuonaje jamaa yako alipokuwa sober na alipokuwa tungi? Click to expand... Ndege hufananao huruka pamoja wangu so mnywaji kabisa so sielew unachozungumza hapa
Red Giant said: tena wadada wasiokunywa ndiyo wanafaa kutoa maoni. ulimuonaje jamaa yako alipokuwa sober na alipokuwa tungi? Click to expand... Ndege hufananao huruka pamoja wangu so mnywaji kabisa so sielew unachozungumza hapa