Ufundi wa mke wangu kitandani unanitisha! Anayajulia wapi yote haya

Tatana

Member
Dec 4, 2022
15
35
Nachukia kunyanduana na mwanamke gogo, lakini ufundi wa wife umevuka mipaka. Licha ya kuwa naenjoy Sana ila kiukweli ananipa mashaka.

Hivi inawezekana kweli mwanamke akawa fundi kitandani bila ya kuwa kicheche?

Wakati wa sebene uwa naenjoy Sana, lakini mchezo ukiisha tu akili yangu inaenda kwa yote aliyonifanyia. Kichwa changu kinakuwa na maswali mengi hasa Ni wapi kajulia maujanja Yale au nacho Ni kipaji?

Nimejaribu kumbana Sana na kumfatilia katika kila angle lakini nimeshindwa kupata ushahidi Wala dalili za Yeye kunisaliti. Kitu peke kinachonipa mashaka Ni mauwezo yake kitandani?

Nishaurini wakuu.. nafanyaje katika hili?
 
Wasiwasi ni kawaida,lakini ukizidi unaweza tengeneza tatizo mahali ambapo hakuna.

Ongea nae sio kumtilia mashaka but kuhitaji kujua how she learned that utajua na utajijibu hilo shaka lako.

In the meantime we enjoy tu mkuu,kama unapendwa it's very possible ataenda extra miles, kujifunza ubunifu na kupractise kwako, namna gani ya kukuridhisha zaidi.
 
Kwani ulimkuta Bikra?!
 
Shukran mkuu! Big point

Weka namba yake hapa tuthibitishe
 
Back
Top Bottom