Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

Maliziaa....wana kiburi na dharau while hamna kitu sawa?
Wanawake wazuri hua wana tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Wao hudhani kwamba uzuri wao ndio kila kitu, hawana tena haja ya kuwa na heshima, usikivu nk. Ndio maana wengi utakuta hata kitandani hafanyi chochote manake anaamini uzuri wake tu unatosha.

Na kiburi chao kinatokana na ile kuona kwamba kila mwanaume anamtaka, so ukiwa nae hawezi kukuheshimu anajua hata ukimuacha wapo wengi wanamsumbua.
 
Asee wewe Ni waleee Kati ya wachache tuliopata DIV I enzi hizoo.....una uelewa mkubwa......Nivile sijui ku PIN TU, hii comment YAKo ilitakiwa kuwa juu pale kwenye post.

Lengo, iwasaidie kina dronedrake na wenzie wa KATAA NDOA......wabadilishe mawazo yao
 
No tako

No shepu

No kalio

In addition

No titi Dede
wanawake wembamba wengi Ndio Visu Duniani muone priynka chopra toka mwaka 2000 yupo vile vile hachuji njoo kwa careen simba miaka miwili limekuwa furushi mcheki Iryna shaka toka 2011 yuko vile vile na ka mwili kake mcheki fanny Negusha unaweza zani ana miaka 18 mcheki flavian matata yupo vile vile hii mifurushi mingi naona inafaa kwa matumizi ya mda fupi sana wazungu sio wajinga kupenda mifupa Cristiano sio mpumbavu au Messi kuoa mifupa
 
Pisi inaweza kuwa kuwa na tako....sura mbovu, kitandani mbovu huyo Ni Pisi Kali????.....usikurupuke kujibu fikiri Kwanza sawa???
 
Unakua na pisi kali hadi unaiogopa, baadhi ya wanaume ni mabwege sana.

Tatizo ni kutaka showoff, kuna pisi kweli ni kali ila ukiiangalia unaona tu mtaleteana shida, wengi wao wanapenda attention, care na baby baby nyingi, kuanzisha nazo mahusiano ni kero na karaha.

Ila wapo wanaozimudu, pisi kali na nyodo huwa havitengani.
 
Wakuu,

Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU

Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk.

Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/ za kawaida wao hawana wapenzi?

Binafsi MIMI PISI YANGU Ya kawaida, tunapendana kweli na natarajia kumuoa soon

KUONGOZEA:
Kiukweli nimeshachepuka Sana na Pisi hizo zenu mnazojinadi nazo humu kila siku, ila mwisho hakuna Cha maana za ya kuzinguana na kuachana TU

MY INTAKE:
Hizi Pisi Kali hamna kitu, Piga TU kwa matamanio ila Pisi za kuoa Ni zile mbayaaa, Tena mbayaaa.......ile inshu ya KATAA NDOA tutaisahau

Pia mwanaume kuja kulia sijui demu/mke sijui anazingua/anachepuka Ni ufala

MWISHO:

Popote Ulipo Pisi ya kawaida; usiye na shepu, huvutii, huna kalio Wala sura, ENJOY UR SELF

shi na ule msemo Mungu hakunyimi kila kitu, waache wao na uzuri wao Alafu kila siku wanaishia kuwa Single Mom's, huku ww unaendeleaje na NDOA yako tamu yenye furaha.

Nimemaliza!
Pisi za kawaida ett zinalinga Sana Ndo maana watu hawana time now
 
Unakua na pisi kali hadi unaiogopa, baadhi ya wanaume ni mabwege sana.

Tatizo ni kutaka showoff, kuna pisi kweli ni kali ila ukiiangalia unaona tu mtaleteana shida, wengi wao wanapenda attention, care na baby baby nyingi, kuanzisha nazo mahusiano ni kero na karaha.

Ila wapo wanaozimudu, pisi kali na nyodo huwa havitengani.
Kufupisha sio wa kuoa.....KATAA NDOA NA PISI KALI sawa....mwambie na mwenzio dronedrake
 
Hapo kwenye pisi kali kuwa tamu naomba nipingane na wewe mkuu.

Uzoefu wangu ni kwamba pisi kali nyingi ni nzuri kuzitazama kama ulivyosema iwe inapitapita uchi au ndani ya lingerie/night dress nyepesi. Ila kwa suala la UTAMU kwa maana ya ladha ya mbususu ni sifuri.

Nyingi ya hizi pisi kali zimetumika sanaa unakuta mashine iko kama lapulapu yaani hamna taste kabisa. Sasa mbususu imeshaliwa na watu zaidi ya 200 wenye size na pulling tofautitofauti unategemea ukute nini hapo..?
Labada nyie wenzangu wenye de liboloz ndio mnaonaga tofauti mie mwenzenu kibamia changu kikiingia tuu kichwa tayari raha yote nilishapata. Bwana kwanza utamu ninao mwenyewe na kibamia changu kwake nafuata utelezi na shape lake kunitia nyege
 
Wakuu,

Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU

Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk.

Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/ za kawaida wao hawana wapenzi?

Binafsi MIMI PISI YANGU Ya kawaida, tunapendana kweli na natarajia kumuoa soon

KUONGOZEA:
Kiukweli nimeshachepuka Sana na Pisi hizo zenu mnazojinadi nazo humu kila siku, ila mwisho hakuna Cha maana za ya kuzinguana na kuachana TU

MY INTAKE:
Hizi Pisi Kali hamna kitu, Piga TU kwa matamanio ila Pisi za kuoa Ni zile mbayaaa, Tena mbayaaa.......ile inshu ya KATAA NDOA tutaisahau

Pia mwanaume kuja kulia sijui demu/mke sijui anazingua/anachepuka Ni ufala

MWISHO:

Popote Ulipo Pisi ya kawaida; usiye na shepu, huvutii, huna kalio Wala sura, ENJOY UR SELF

shi na ule msemo Mungu hakunyimi kila kitu, waache wao na uzuri wao Alafu kila siku wanaishia kuwa Single Mom's, huku ww unaendeleaje na NDOA yako tamu yenye furaha.

Nimemaliza!
basi sawa
 
Back
Top Bottom