Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

Wakuu,

Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU

Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk.

Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/ za kawaida wao hawana wapenzi???

Binafsi MIMI PISI YANGU Ya kawaida, tunapendana kweli na natarajia kumuoa soon

KUONGOZEA:
Kiukweli nimeshachepuka Sana na Pisi hizo zenu mnazojinadi nazo humu kila siku, ila mwisho hakuna Cha maana za ya kuzinguana na kuachana TU

MY INTAKE:
Hizi Pisi Kali hamna kitu, Piga TU kwa matamanio ila Pisi za kuoa Ni zile mbayaaa, Tena mbayaaa.......ile inshu ya KATAA NDOA tutaisahau

Pia mwanaume kuja kulia sijui demu/mke sijui anazingua/anachepuka Ni ufala

MWISHO:

Popote Ulipo Pisi ya kawaida; usiye na shepu, huvutii, huna kalio Wala sura, ENJOY UR SELF

ishi na ule msemo Mungu hakunyimi kila kitu.....waache wao na uzuri wao Alafu kila siku wanaishia kuwa Single Mom's.....huku ww unaendeleaje na NDOA yako tamu yenye furaha

Nimemaliza!
Bila tupicha picha huo nii uooongooo😅
 
Not exactly, kamfano TU kukuelewesha mkuu sawa, pia difference nyingine Ni Kama titi saa nane, shepu, sura nzuri nk......haya yote nimejifunza humu humu coz kila mtu humu Pisi yake Ni Kali kasoro Mimi tu sawa??
Matiti ni suala la muda TU mkuu with time mwanamke atake asitake titi litalala tu.
Tusio pisikali tupo wengi mbona ila wanaoolewa kwawingi ni pisi za kawaida sana. Pia hata single ladies za kawaida lazima kila mmoja ina mtu wake

Cc Smart911
 
Pisi mbovu zina wa kuwala aisee, tena ni tamu hasaa! Uzuri wa pisi mbovu hazina jam, utajikuta ni wewe tu ndiye unayekula peke yako. Hizi pisi kali ni balaa, mko wengi mmepangwa foleni bila kujua. Pisi kali ni majanga unaweza kuishia kumtwanga makofi mtoto wa watu kwa wivu wa kimapenzi ukingundua kuna jamaa jingine nalo linakula hapo.
Umemaliza mkuu, chukua fanta orange hapo, sharti iwe ya baridi kupunguza hangover ya Jana.. nakuja kulipa sawa??.....zingatia masharti Alafu uni tag
 
Matiti ni suala la muda TU mkuu with time mwanamke atake asitake titi litalala tu.
Tusio pisikali tupo wengi mbona ila tunaoolewa kwawingi ni pisi za kawaida sasa. Pia hata single ladies za kawaida lazima kila mmoja ina mtu wake

Cc Smart911
Hakika, nyie dunia hii ya kwenu,,, huyo smart Nani Nani sijui ( sijui ku tag Bado najifunza ok?? ).....huwezi mkuta kule kwa wanna KATAA NDOA wakati anacho kipata anapagawa, ataanzaje Kwanza??? ( Jokes )
 
Mwanamke sura na chura. Pisi kali tamu jamani yaani awe anatembea tembea uchi ndani ya nyumba hadi raha.

Hao mnasema sio pisi kali bado wanacheat sasa sii bora ule mali safi tuu. Kuchapiwa kupo pale pale wether umeoa pisi kali au pisi mbovu
Hapo kwenye pisi kali kuwa tamu naomba nipingane na wewe mkuu.

Uzoefu wangu ni kwamba pisi kali nyingi ni nzuri kuzitazama kama ulivyosema iwe inapitapita uchi au ndani ya lingerie/night dress nyepesi. Ila kwa suala la UTAMU kwa maana ya ladha ya mbususu ni sifuri.

Nyingi ya hizi pisi kali zimetumika sanaa unakuta mashine iko kama lapulapu yaani hamna taste kabisa. Sasa mbususu imeshaliwa na watu zaidi ya 200 wenye size na pulling tofautitofauti unategemea ukute nini hapo..?
 
Hapo kwenye pisi kali kuwa tamu naomba nipingane na wewe mkuu.

Uzoefu wangu ni kwamba pisi kali nyingi ni nzuri kuzitazama kama ulivyosema iwe inapitapita uchi au ndani ya lingerie/night dress nyepesi. Ila kwa suala la UTAMU kwa maana ya ladha ya mbususu ni sifuri.

Nyingi ya hizi pisi kali zimetumika sanaa unakuta mashine iko kama lapulapu yaani hamna taste kabisa. Sasa mbususu imeshaliwa na watu zaidi ya 200 wenye size na pulling tofautitofauti unategemea ukute nini hapo..?
Maliziaa....wana kiburi na dharau while hamna kitu sawa?
 
Back
Top Bottom