Hivi Pisi nyembamba Zina nini lakini maana mimi Sielewi..

Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote wako hivyo au nn shida..!!
Wana JF hebu nipeni taarifa fupi background kdg ya pisi za aina hii ,Nizielewe vzr , Nipeni Experience zenu juu yao...

meshack allyson
Wana:-
Visirani
Roho mbaya (ndio maana hawana nyama)
Vina virefu sana down there (Kiufupi ni warefu kwenda chini)

Kuna kamoja kananisumbua balaa ,yaan madem wembamba shida Sana ,kana nutesa balaa Mara Nina mtu wangu siwez kuwa na wewe ,nikikapa zawad kanapokea ,nikikaita sehem yoyote kanakuja fresh tu ila kasoro geto kwangu ndio hakatak hata kusikia ,nikikambia kaje jion na kigiza Giza sehem tofaut na kwangu yaan kaje nikabusu busu na kukashika shika kanakuja fresh tu.

Ajab had pants nakanunulia na kanafurah balaa na kunishukuru Sana ila kuja geto ndio hakatak ,had nawaza kukapulizia njian humo humo tunamokutana lakin naona hadhi yangu sio ya kupigia manz polin na ikatokea nimekutwa itakuwa aibu Sana ,yaan hutu tudem Ni shida Sana aisee na sielew Ni kamtu ka aina gani haka kadem.
Sema Ni ka modo fulani ka kitusi ila sio flat kiivo tunyama tupo tupo kidogo plus kifua ndio kananimaliza kabisa ,ila ngoja nijipe muda tu ipo siku katakunjua ,na kakija jichanganya hiyo siku nadhan kataisoma namba maana nimekaandalia Kila aina ya pigo
We nunua gari au kodisha tu massa 12 ukaite unakazaba humo humo maana bilaa hovo wanakula wengine
 
Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote wako hivyo au nn shida..!!
Wana JF hebu nipeni taarifa fupi background kdg ya pisi za aina hii ,Nizielewe vzr , Nipeni Experience zenu juu yao...

meshack allyson
Mwembamba moyo wake ma mifupa yake ipo karibu na nje inachungulia sana na kuona vioja vya nje ndo maana vinasumbua kwa sababu ya hofu yanayoonekana nje kwa haraka
 
Wadogo zetu dada zetu pengine na mama zetu huwa ni pisi za aina gani? Maana hizi pisi ambazo ni mama na dada wa wengine huwa zinakosolewa sana.

TUACHANE NA TAFITI NYINGI, TUFURAHIE MAISHA YA MAPENZI, TUTAFUTE MPENZI ANAYETUPA RAHA AMBAYE HATUPI TUWAACHIE WENGINE.
 
Vimbaumbau aka roho mkononi ni shida. Nadhani huwa vina chemical imbalance kwa vile havina nutrients za kutosha. Yaani gubu na kisirani mtindo mmoja. Much know kila kitu vimo, roho mbaya, umbea na kutotulia yaani 24/7 tuko active...ila ndo hivyo vingine vilimbwende kweli kweli tena ukute kirefu, nyanya mchongoko kifuani, kilenzi mbinuko fulani hivi amaizingi kiunoni, miguu mirefu mizito...huchomoki. Inabidi tu upambane na gubu na kisirani hivyo hivyo
 
2016-06-28%2021.11.11%201282764541650235422_1437924563.jpg
 
Kuna kamoja kananisumbua balaa ,yaan madem wembamba shida Sana ,kana nutesa balaa Mara Nina mtu wangu siwez kuwa na wewe ,nikikapa zawad kanapokea ,nikikaita sehem yoyote kanakuja fresh tu ila kasoro geto kwangu ndio hakatak hata kusikia ,nikikambia kaje jion na kigiza Giza sehem tofaut na kwangu yaan kaje nikabusu busu na kukashika shika kanakuja fresh tu.

Ajab had pants nakanunulia na kanafurah balaa na kunishukuru Sana ila kuja geto ndio hakatak ,had nawaza kukapulizia njian humo humo tunamokutana lakin naona hadhi yangu sio ya kupigia manz polin na ikatokea nimekutwa itakuwa aibu Sana ,yaan hutu tudem Ni shida Sana aisee na sielew Ni kamtu ka aina gani haka kadem.
Sema Ni ka modo fulani ka kitusi ila sio flat kiivo tunyama tupo tupo kidogo plus kifua ndio kananimaliza kabisa ,ila ngoja nijipe muda tu ipo siku katakunjua ,na kakija jichanganya hiyo siku nadhan kataisoma namba maana nimekaandalia Kila aina ya pigo
Mzee jaribu kukapeleka lodge, yawezekana kweli ana mtu hapo kitaa hivyo anaogopa kuja geto kwako itakua msala wanafiki wengi.
Jiongeze arifu
 
Wazo zuri hili ,ngoja nibadir gia Sasa ,Asante kwa wazo la kibabe mwamba ,yaan haka kamanz Ni katusi jamii ya huko Rwanda japo kamezaliwa tz ,Ni kakisu balaa ,kifua Sasa Ni shida ,stek za nyuma zipo za kushika wastan yaan kwa kifup Ni ka modo ka haja ,nam nimejiapiza kukakosa haka kamanz ntakuwa bonge moja la fala.

Shukran mwamba ngoja nibadirishe uelekeo wa mashambulizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom