Hivi Pisi nyembamba Zina nini lakini maana mimi Sielewi..

Wafupi sasa sijui nianzie wapi....ngoja niishie hapa kwanza .....itaendelea
Kitaalamu wafupi mioyo yao iko karibu na utumbo mkubwa...hivo katika digestion process ile heat ya digestion process inapanda Hadi kwenye mioyo na kusababisha hasira za Mara kwa Mara na ugomvi

2:Tabia ya kugandana: hi hutokea kwa wanawake wafupi kwa sababu kitaalamu ...mioyo yao iko karibu na kwenye utamu...hivo ukimsugua chini vizuri...ule utamu unapanda Hadi moyoni na kichwani... Hence proved...atakuganda balaa
 
Kama upo dodoma,Mimi nitakuazima Crown! Njoo na Valid Driving licence yako tu! Mabaharia hatuna shida kwenye kusaidiana,make sure unakachakata kweli kweli! Nakupa na sehemu ya kwenda nako,hakawezi chomoa,labda kawe kanavuja!
Nipo huku karagwe kwa wanyambo mwamba ,ila soon tu ntaleta mrejesho
 
Kwani gesti/hotel/lodge vipi?
Nimekatupia Hilo swala kamedai katanipa jib kesho,ila uelekeo Ni mzur ,itakuwa kwel huyu manz ana mtu hapa kitaa ndio maana anaogopa kuja kwangu ila ajab nimejarib kufuatilia yupo na nan Kila mtu hajui ,na nikimuuliza upo na jamaa gan hatak kusema Zaid ya kuniambia Nina mpenz .

Nashindwa kuelewa ,nikimwita popote pale anakuja iwe mchana iwe jion na kigiza Giza ila isivuke saa mbil huwa anakuja kiroho saf tu ,na touches za hapa na hapa hana shida ,shida Ni kuja geto kwangu tu ndio hatak .

Nikimwomba sabab kananiambia moyo haujaniambia nije kwako ,ila siku ukiniambia ntakujaga tu .Sasa ngoja nijaribu kupambania Hilo swala la lodge nione itakuaje.

Videm vimodo shida tupu
 
Kuna kamoja kananisumbua balaa ,yaan madem wembamba shida Sana ,kana nutesa balaa Mara Nina mtu wangu siwez kuwa na wewe ,nikikapa zawad kanapokea ,nikikaita sehem yoyote kanakuja fresh tu ila kasoro geto kwangu ndio hakatak hata kusikia ,nikikambia kaje jion na kigiza Giza sehem tofaut na kwangu yaan kaje nikabusu busu na kukashika shika kanakuja fresh tu.

Ajab had pants nakanunulia na kanafurah balaa na kunishukuru Sana ila kuja geto ndio hakatak ,had nawaza kukapulizia njian humo humo tunamokutana lakin naona hadhi yangu sio ya kupigia manz polin na ikatokea nimekutwa itakuwa aibu Sana ,yaan hutu tudem Ni shida Sana aisee na sielew Ni kamtu ka aina gani haka kadem.
Sema Ni ka modo fulani ka kitusi ila sio flat kiivo tunyama tupo tupo kidogo plus kifua ndio kananimaliza kabisa ,ila ngoja nijipe muda tu ipo siku katakunjua ,na kakija jichanganya hiyo siku nadhan kataisoma namba maana nimekaandalia Kila aina ya pigo
tunyama tupo tupo
 
Kuna kamoja nilidate nako kakatokea kunipenda hasa sasa sikukaambia km nimeoa kuna siku kakaja kujua ....ebwana nilipigiwa simu kaliongea maneno kaliandika sms yaan wiki nzima ni matusi na sijawahi kaona tena hua natamani sana nikaone nikaulize hivi vile vitisho na matusi yale ni kweli kalikua kanaandika kenyewe
 
Kitaalamu wafupi mioyo yao iko karibu na utumbo mkubwa...hivo katika digestion process ile heat ya digestion process inapanda Hadi kwenye mioyo na kusababisha hasira za Mara kwa Mara na ugomvi

2:Tabia ya kugandana: hi hutokea kwa wanawake wafupi kwa sababu kitaalamu ...mioyo yao iko karibu na kwenye utamu...hivo ukimsugua chini vizuri...ule utamu unapanda Hadi moyoni na kichwani... Hence proved...atakuganda balaa
 
Yaan ukute kamevaa suruali tyt!! Zao za mpira hiz!!!

Vitako vinakua kama Mashavu ya Hadja Kopa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom