Nakushauri ukubaliane na yaliyotokea kwani kama ingetokea ukamuoa kisha mungu akampenda zaidi ungeomboleza milele?? Jibu ni hapana 'Waache wafu wazike wafu wao' Mshukuru mungu mmeachana kwani ya ndoani usingepanga wewe na sasa anza safari mpya kwani kama ni Matanga yaliisha tangu alipokuacha.... Kama ukiona ushauri wangu bogus basi endelea kumkumbuka na ikiwezekana tafuta doli lenye sura yake ulale nalo milele.
huoni umri tu
ukikua utasahau
utajashangaa upatapo Mke mwema na watoto hata wawili tu utamsahau huyo Mke
upo umri utapenda wanao kuliko Mama yao
ndio maana nasema Adolocence age ni kipindi kigumu kukivuka bila ya kusalitiana na ni hapo unaweza kumuacha mzuri na kuingia pabaya hapo unaanza kujuta na kuwakataa binadamu wengine (wa kuoa au kuolewa)
Baada ya kuanua tanga kinafuata kitendo cha kugawa mali za marehemu.... Sasa wewe umeanua tanga vitu unafungia kabatini vya nini???? Wenzio wanachoma moto kama ishara ya kufungua ukurasa mpya.... Usikubali kurubuniwa na yaliyopita, huyo alikuwa wako na sasa hunae tena over. Fikiri staili ya kumsindikiza mtu kwamba itafika time mtaachana wewe urudi yeye aendelee na hamna tofauti yake... Anza upya and good life.Sijui nitupe baadhi ya vitu alivyo viacha