Inanusa mafuta ia shda yake ina piston tatu kitu kinachofanya engine isiwe on balance mfano ukiwa kwenye folen umesimama utahisi had vibrations kwenye board, pili havina nguvu yani uwa nashangaa suzuki carry na cc660 ina nguvu kuliko passo yani passo ya cc990 ukipandisha watu wanne na wewe watano ukiwa wapanda mlima unafeel kabisa kuwa imebeba mzigo.
Nne spare za passo ni bei hasa bush engine mount ni bei mkuu.
Ila kwa mizunguko ya town ni sawa tu